Benki M : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:18, 18 Agosti 2021

Banki M ilikuwa benki ya biashara nchini Tanzania. Ilipewa leseni na Benki ya Tanzania, benki kuu na mdhibiti wa benki wa taifa, kushiriki kama benki ya biashara.[1]

Mahali

Makao makuu na tawi kuu la Bank M lilikuwa katika Jengo la Bank M, karibu na Barack Obama Drive 8 (Barabara ya zamani ya Ocean), katika jiji la Dar es Salaam, jiji kubwa la Tanzania.[2]..[3]

Historia

Benki ilipokea leseni yake kama benki ya biashara kutoka Benki ya Tanzania mnamo Februari waka 2007 na kufunguliwa mnamo Julai mwaka huo huo. Mtaji wake ulikua takriban Dola za Kimarekani milioni 17 abazo ni (Shilingi za Tanzania: bilioni 25), ambapo Dola za Kimarekani milioni 6.3 (TZS: 9.3 bilioni) zilikuwa zimelipwa mpaka Oktoba mwaka 2010.[4]

IMnamo Januari mwaka 2019, mali na deni zote za Benki M zilinunuliwa na Benki ya Azania kwani Leseni ya benki Benki M ilifutwa na Benki ya Tanzania na mdhibiti wa taifa wa benki[5]

Ona pia


Viunga vya nje

Marejeo

  1. Bank of Tanzania (30 June 2017). "Directory of Commercial Banks Operating In Tanzania as of 30 June 2017" (PDF). Dar es Salaam: Bank of Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 January 2018. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. Bloomberg LP (6 July 2016). "Company Overview of Bank M Tanzania Plc". Bloomberg LP. Iliwekwa mnamo 8 May 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Kigezo:Google maps
  4. Elinaza, Abduel (7 October 2010). "Tanzania: Bank M Posts TSh1.48 Billion Quarterly Profit". Tanzania Daily News (Dar es Salaam) via AllAfrica.com. Iliwekwa mnamo 8 November 2014.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. Reuters (15 January 2019). "Bank M assets, liabilities transferred to Azania Bank". The EastAfrican Quoting Reuters. Nairobi. Iliwekwa mnamo 20 January 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)