Teknolojia ya simu za mkononi barani Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:51, 19 Agosti 2021

Teknolojia ya simu za mkononi barani Afrika ni soko linalokua kwa kasi..[1] Afrika ndio mahali pekee ambapo simu za mkononi zinaenea kwa kasi, ambapo teknolojia za mkononi mara nyingi zinawakilisha miundombinu ya kwanza ya kisasa ya aina yoyote.[2] Zaidi ya 10% ya watumiaji wa mtandao wako Afrika. [3] Ingawa 50% ya waafrika wana simu za mkononi na upatikanaji wa simu hizo unakua kwa kasi sana.[4] Hii inamaanisha kuwa teknolojia ya siku za kononi ndio jukwaa kubwa zaidi barani Afrika, na inaleta mapato tofauti.Inaripoti upakuaji wa App umezidi bilioni 98[5] ambayo ni faida kubwa sana kwa watengenezaji wa programu za simu za mkononi barani Afrika[1]

Alama na matangazo kutoka Celtel na waendeshaji wengine wa simu za mkononi zinavyoenea vijijini barani Afrika (picha: Uganda 2009)

Ona pia

Marejeo

  1. "MIT Global Startup Labs". aiti.mit.edu. Iliwekwa mnamo 2018-08-01. 
  2. "Terms of Service Violation". www.businessweek.com. Iliwekwa mnamo 2018-08-01. 
  3. "Africa Internet Users, 2018 Population and Facebook Statistics". www.internetworldstats.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-08-01. 
  4. "2010 Global Mobile Communications - Key Trends and Growth in a Challenging Environment - BuddeComm". www.budde.com.au. Iliwekwa mnamo 2018-08-01. 
  5. "Mobile App downloads will reach 98 billion". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-23. Iliwekwa mnamo 2012-02-04.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)