Ulimwengu Unaanza na Mimi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ANZISHA MAKALA MPYA
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:21, 19 Agosti 2021

Ulimwengu Unaanza Nami ni mpango unaotumia Komputa kuzuia elimu ya ngono na UKIMWI unaolenga vijana nchini Uganda , mpango huu umetengenezwa na Butterfly Works http: / /www.butterflyworks.org Foundation ,Idadi ya Watu Duniani shirika lisilo la kiserikali la Uholanzi kwa kushirikiana na Ugandan Schoolnet.Mpaka sasa mpango huo umefikia watoto kote ulimwenguni na Wakenya nao wamejiunga kujifunza mchakato huo. Vijana huweza kujifunza zaidi juu ya miili yao na pia hujifunza juu ya magonjwa ya zinaa. Hii inasaidia kuwaonyesha vijana matokeo ya kufanya mapenzi bila kinga. Mnamo mwaka 2004, mpango huo ulishinda tuzo ya Prix Ars Electronica Golden Nica for Digital Communities.

Viunga vya nje

Marejeo