Béjaïa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Béjaïa 02.jpg|thumb|Béjaïa]]
'''Béjaïa''' zamani ilijulikanaulijulikana kama '''Bougie''' naau '''Bugia''' na ni [[Bandari|mji wa bandari]] kwenye Ghuba[[ghuba]] ya Béjaïa katika nchi yanchini [[Algeria]]; ni mji mkuu wa jimbo la [[Béjaïa]], Kabylia. Béjaïa ni jiji kubwa zaidi inayotumialinayotumia lugha ya [[Tamazight|Kabyle]] .
 
Mji huo unatazamana na mlima Yemma Gouraya ambapo mwonekano wake unafananishwa na umbo la mwanamke aliyelala. Maeneo mengine ya karibu ni pamoja na pwani ya "Aiguades" na "Pic des Singes" (Monkey Peak); hapo wako nyanyi aina ya Barbary Macaque walio hatarini kuangamizwa. Sehemu hizo zote ziko katika Hifadhi ya Kitaifa ya Gouraya. Mto Soummam unapita katikati ya mji.
 
Wakati wa ukoloni wa [[Ufaransa]], hapo zamani mji uliandikwa kwa tahajia ya ya Kifaransa kwa mfano '' Bougie''. <ref name="OED">{{cite web|url=http://www.oed.com/view/Entry/21989|title=Bougie (n)|work=Oxford English Dictionary|publisher=Oxford University Press|access-date=29 November 2012|quote=Etymology: < French bougie wax candle, < Bougie (Arabic Bijiyah), a town in Algeria which carried on a trade in wax}} ''Available online to subscribers''</ref>
 
== Viungo vya nje ==