Bunduki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Firearms (joelogon) .jpg|thumb|Aina mbalimbali za bunduki na bastola]]
[[Image:AK-47 and Type 56 DD-ST-85-01269.jpg|thumb|Bunduki ya Kalachnikov]]
 
'''Bunduki''' ni [[silaha]] inayorusha [[risasi]] dhidi ya shabaha yake. Ndani ya bunduki inatokea mlipuko wa [[baruti]] na [[gesi]] joto za mlipuko zinasukuma risasi kuelekea mwendo wa [[kasiba]] yake. Kutokana na sifa hii huitwa pia [[silaha ya moto]].
 
Bunduki ya kisasa huwa na akiba ya [[ramia]] katika [[chemba]] yake isipokuwa silaha kadhaa za kuwinda. Silaha za kijeshi huwa na chemba zonazoshika risasi zaidi ya 100.
 
==Aina za bunduki==
Kwa kawaida neno lataja [[silaha za aina hiimoto]] zenye kasiba ndefu zinazoshikwa mkononi.
*Bunduki kubwa zaidi zinazosimama kwa magurudumu huitwa [[mzinga]].
*Bunduki ndogo yenye kasiba fupi ni [[bastola]].