Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
49,255
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
*Bunduki kubwa kiasi inayofyatua risasi nyingi wakati moja ni [[bombomu]] (au: mzinga wa bombom; bunduki ya mtombo; bunduki ya rashasha).
**Aina hii kama ndogo zaidi ni [[bunduki ya nusu mtombo]].
*[[Bunduki ya upepo]] inazotumia nguvu ya gesi yenye shindikizo bila mlipuko.
*[[Bunduki ya marisau]] hutumiwa kwa kuwinda wanyama ikifyatua risasi nyingi ndogondogo. Ni rahisi zaidi kushika shabaha lakini haipigi mbali.
*[[Gobori]] ni bunduki ambako risasi na baruti zinaingizwa kupitia mdomo wake katika kasiba. Inapiga mara moja tu halafu ni lazima kuijaza upya. Aina hii ni silaha ya kihistoria lakini hupatikana pia kama silaha inayotengenezwa nyumbani.
|