Tofauti kati ya marekesbisho "Vita Kuu ya Pili ya Dunia"

559 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
(#WPWP #WPWPTZ)
 
== Vita katika Ulaya ==
MashambuliziWakati yaUjerumani Wajerumani dhidiilishambulia Poland, yalisababishanchi halihiyo yailikuwa vitana katimikataba yana Ujerumani kwa upande mojaUingereza na [[Ufaransa]] naambako [[Uingereza]]nchi kwahizo upande mwingine waliokuwaziliwahi na [[mkataba]] wa kulindana. Hivyo Uingereza na PolandUfaransa zilitangaza hali ya vita dhidi ya Ujeruamni. Serikali za [[Australia]], [[New Zealand]], [[Nepal]], [[Afrika Kusini]] na [[Kanada]] zilishikamana na Uingereza kwa kutangaza vita dhidi ya Ujerumani. [[UrusiUmoja wa Kisovyeti]], uliokuwailikuwa na mkataba wa siri na Ujerumani, ulichukuaikaweza kuchukua nafasi ya kuteka sehemu kubwa za Poland ya Mashariki.
 
Baada ya uvamizi wa Poland hali kwenye mpaka na Ufaransa ilibaki kimya ingawa vita ilitangazwa. Uingereza ilipeleka sehemu kubwa ya jeshi lake Ufaransa kwa kusudi la kutetea nchi hiyo kama Ujerumani ingeshambulia.
 
Mwezi wa Aprili [[1940]] [[Waingereza]] walianza kupeleka [[wanajeshi]] [[Norway]] wakiwa na shabaha ya kuzuia kupelekwa kwa [[madini]] ya [[chuma]] kutoka [[Sweden]] kwenda Ujerumani kupitia bandari za Norway. Wajerumani walichukua nafasi hii kuteka [[Denmark]] na Norway na kufukuza Waingereza.
 
Mnamo Mei [[1940]] Wajerumani walishambulia Ufaransa. pamojaWalitumia nanjia nchiya zakupitia [[Uholanzi]], [[Ubelgiji]] na [[Luxemburg]] zilizowahi kutangaza kwamba hawako upande wowote katika vita. Vita hii ilikwisha haraka: Wajerumani walishinda na kupiga pia kikosi cha Waingereza hukopamoja na jeshi la Ufaransa. Lakini Waingereza walifaulu kuokoa wanajeshi wao kutoka [[Dunkirk]] kwa meli walipoviringishwa na Wajerumani kwa sababu Hitler aliwaamuru kusibiri. Baadaye walisitasita kushambulia Uingereza yenyewe. Mipango yao ilihitaji mbinu za kuvuka [[bahari]]. Wakajaribu kuvuruga nguvu ya kijeshi ya Waingereza kwa mashambulizi ya [[Ndege (uanahewa)|ndege]] lakini hawakuwapia hapa Hitler hakuendelea mashambulio dhidi ya wanahewa wa Uingereza na hatimaye kukosa uwezo wa kutosha. Katika shambulizi dhidi ya Ufaransa [[Waitalia]] walishiriki upande wa Wajerumani.
 
Mwisho wa mwaka 1940 Waitalia walianza kuwashambulia [[Ugiriki]] na jeshi la [[Uingereza|Waingereza]] huko [[Misri]] na [[Malta]]. Lakini mahali pote walirudishwa nyuma, hadi [[dikteta]] Mjerumani [[Adolf Hitler]] aliamua kuwasaidia Waitalia na kupeleka wanajeshi Wajerumani kwenda [[Afrika ya Kaskazini]] pamoja na Ugiriki mwaka [[1941]]. Hii ilisababisha pia Wajerumani kuteka [[Yugoslavia]] wakiwa njiani kwenda Ugiriki.