Tiba : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Treatment of VD case. Extra charges, other than the regular medical fee deducted from pay, are made for treatment of... - NARA - 540839.jpg|thumb|Binadamu akipewa tiba na [[Daktari|madaktari]]]]
'''Tiba''' (au: '''Uganga''') ni [[elimu]] kuhusu [[magonjwa]] ya [[
Elimu hii inafuata mbinu za ki[[sayansi]], tofauti na [[uganga wa kienyeji]] au wa [[Mila|kimila]].▼
Tiba imeendelea kiasi cha kuwa na [[Tawi|matawi]] yanayoangalia hasa:
Watu wanaoshughulikia magonjwa ya watu huitwa ma[[tabibu]] au waganga. Mara nyingi watu huwaita "[[daktari]]", lakini neno hili lamaanisha zaidi [[cheo]] cha kufaulu [[chuo kikuu]] kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba. ▼
* magonjwa ya sehemu fulani tu ya mwili, kwa mfano tiba ya [[moyo]], ya [[ngozi]], ya [[viungo vya ndani]], au
* aina ya tiba, kwa mfano [[upasuaji]], au
* aina ya watu, kwa mfano [[magonjwa ya watoto]] na kadhalika.
Kila somo dogo lina [[wataalamu]] wake.
Watu wanaofanya kazi pamoja na tabibu ni [[muuguzi]] ([[nesi]]) na wasaidizi wengine.▼
▲Watu wanaoshughulikia magonjwa ya watu huitwa ma[[tabibu]] au waganga. Mara nyingi watu huwaita "[[daktari]]", lakini [[neno]] hili lamaanisha zaidi [[cheo]] cha kufaulu [[chuo kikuu]] kwenye ngazi ya juu; mara nyingi waganga husoma hadi cheo cha daktari wa tiba.
▲Watu wanaofanya [[kazi]] pamoja na tabibu ni [[muuguzi]] ([[nesi]]) na wasaidizi wengine.
{{mbegu-tiba}}▼
▲Elimu
▲{{mbegu-tiba}}
[[Category:Tiba|!]]
|