Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Tanbihi: Cosmas Mwaifwani
No edit summary
Tag: Disambiguation links
Mstari 1:
'''Wasafwa''' ni [[kabila]] la [[watu]] jamii ya [[Wabantu]] kutoka eneo la [[milima]] ya [[mkoa wa Mbeya]], [[kusini]] mwa nchi ya [[Tanzania]].
Wako hasa katika [[wilaya]] za [[Mbeya mjini]], [[Mbeya vijijini]], [[Mbozi]] na [[Chunya (wilaya)|Chunya]]
Mstari 5:
Mwaka [[1987]] [[idadi]] ya Wasafwa ilikadiriwa kuwa 158,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=sbk].
 
[[Lugha]] yao ni [[Kisafwa]], lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na [[Kibantu]].
 
[[Rangi]] kuu ya [[mavazi]] yao ni [[njano]].
Mstari 16:
Mwene maarufu sana alikuwa Mwene Paul [[Mwashinga]] aliyekuwa [[tajiri]] na [[msomi]]; [[makao makuu]] yake yalikuwa [[Igawilo]], [[Mbeya mjini]]; naye aliaga [[dunia]] mwaka 1987; msiba wake ulihudhuriwa na watu mashuhuri sana.
 
Mwene mwingine ni Mwene Mwalyego wa [[Mbalizi Road|Mbalizi]]. Chifu wa sasa hadi makala hii inahaririwa (AugustAgosti 2021) ni Roketi Mwanshinga kuanzia mwaka 1987.
 
==Jina==
Kihistoria wasafwaWasafwa ni watu wanaopenda sana kuishi maeneo yenye [[mvua]] nyingi na ubaridi[[baridi]], hihii ni kutokana na wao kuwa ni [[wakulima]] wa [[mazao]] yanayohitaji mvua, kwa mfano [[viazi mviringo]], vitunguu swaumu, mahindi na numbu. Historia inasema kwamba kulitokea vita baina ya wasafwaWasafwa na jamii zilizowazunguka wakigombea maeneo ya kilimo. Katika vita hiyohivyo kuliibuka mapigano makali mno ambapo ilionekana kuna watu wanapigwa lakini hawafi. Kwa kisafwaKisafwa mtu asiekufaasiyekufa huitwa au hicho kitendo huitwa ASIFWA, yaani hafi. Kwa maana nyingine ili umuombee mtu mabaya na afe unatamka "asafwa" . Na moja kwa moja jamii hiyo ikaitwa safwa yaani kabila la wasafwaWasafwa.
 
==Asili na chimbuko la wasafwa. ==
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Zipo nadharia nyingi zinazoelezea asili na chimbuko la wasafwa toka mbeyaWasafwa ambao ndio wenyeji haswa wa mbeyaMbeya. Ikumbukwe hawa ni wabantu, hivyo basi ni jamii za kibantuKibantu toka afrika[[Afrika magharibiMagharibi]]. Lakini nadharia na masimulizi haya yamegawanyika kama ifuatavyo, :
 
1. Wasafwa ni wa kutoka ugogoUgogo, Dodoma.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa.
 
Nadharia hii inasaidiwa na ukweli hasa kwenye salamu, kuna wasafwaWasafwa wakisalimiana utaskiautasikia "mwagona gogo " , ambapo humaanisha kuwa wao ni kutoka ugogoUgogo, Dodoma. Tatizo ni kwamba hawana uthibitisho wa kutokua wabantu hivyo nadharia hii huwa butu katika ukweli ijapokua wao huwamini hivyo.
Neno safwa;
 
2. Wasafwa ni kutoka ukingaUkinga, Makete.
Kihistoria wasafwa ni watu wanaopenda sana kuishi maeneo yenye mvua nyingi na ubaridi, hi ni kutokana na wao kuwa ni wakulima wa mazao yanayohitaji mvua mfano viazi mviringo, vitunguu swaumu, mahindi na numbu. Historia inasema kwamba kulitokea vita baina ya wasafwa na jamii zilizowazunguka wakigombea maeneo ya kilimo. Katika vita hiyo kuliibuka mapigano makali mno ambapo ilionekana kuna watu wanapigwa lakini hawafi. Kwa kisafwa mtu asiekufa huitwa au hicho kitendo huitwa ASIFWA yaani hafi. Kwa maana nyingine ili umuombee mtu mabaya na afe unatamka "asafwa" . Na moja kwa moja jamii hiyo ikaitwa safwa yaani kabila la wasafwa.
 
Hapa napo kuna ushahidi, ambao unaelezea kuwa wasafwaWasafwa ni jamii toka ukingaUkinga, nadharia hii inashibishwa na salamu pamoja na wasafwaWasafwa waishio kata ya ilunguIlungu, igomaIgoma na ulenjeUlenje, mbeyaMbeya vijijiniVijijini. Katika suala la salamu baadhi husalimiana "mwagona nkinga " , wakimaanisha kuwa hujambo mtu toka ukingaUkinga. Pia wao huamini kuwa ni matokeo ya msafwa, mkinga, mnyakyusa na muwanji. Lakini nadharia hii Piapia inashadadiwa na ukweli kwamba katika kata hizo ni kweli wapo wakingaWakinga wengi mno ambao kwa sasa hujiita wasafwaWasafwa na wanafuata mila na taratibu za kisafwaKisafwa. Ni dhahiri kuwa wapo watu na koo kama kyandoKyando, swalloSwallo, longopaLongopa, chaulaChaula, Enea na nyingine nyiiinginyingi ambazo ni matokeo ya wazee wao kuhamia usafwaniUsafwa, hasa tarafa ya tembelaTembela, mbeyaMbeya vijijiniVijijini.
Asili na chimbuko la wasafwa.
 
53. Wasafwa ni kutoka Botswana. Unyakyusa
Zipo nadharia nyingi zinazoelezea asili na chimbuko la wasafwa toka mbeya ambao ndio wenyeji haswa wa mbeya. Ikumbukwe hawa ni wabantu, hivyo basi ni jamii za kibantu toka afrika magharibi. Lakini nadharia na masimulizi haya yamegawanyika kama ifuatavyo,
 
WakimaanishaNadharia hujambohii tokaipo unyakyusanikatika salamu, ambapo wapo Wasafwa wanaosalimiana "mwagona hondya", Wakimaanisha hujambo toka Unyakyusa. Ikumbukwe wasafwaWasafwa huwaita wanyakyusaWanyakyusa "wahondya Wahondya". , nadhariaNadharia hii inashibishwa na watu waishio tarafa ya Tembela mbeya vijijini, hasa ilunguIlungu na igomaIgoma. Ushahidi wa nadharia hii unashibishwa zaidi na masimulizi ya wazee yahusuyo watu wa ajabu waliokuawaliokuWa wanakula watu wenzao, kwa kisafwaKisafwa waliitwa "Ayinga " . Hawa ni viumbe waliokuawaliokuwa wanapatikana maeneo ya pembezoni mwa [[Safu ya milima|safu za]] mlima[[Milima livingstoneLivingstone]], ambao walisababisha jamii za watu wa kule hasa mwakaleliMwakaleli kukimbilia mbeyaMbeya vijijiniVijijini hasa maeneo ya ilunguIlungu na igomaIgoma. Mmoja wa wahanga hao ni [[ukoo]] wa Mwanginde Mkoma ambao unawakuta mwakaleliMwakaleli na ilungu mbeya vijijiniIlungu.
1. Wasafwa ni wa kutoka ugogo Dodoma.
 
Nadharia hii inasaidiwa na ukweli hasa kwenye salamu, kuna wasafwa wakisalimiana utaskia "mwagona gogo " , ambapo humaanisha kuwa wao ni kutoka ugogo Dodoma. Tatizo ni kwamba hawana uthibitisho wa kutokua wabantu hivyo nadharia hii huwa butu katika ukweli ijapokua wao huwamini hivyo.
 
2. Wasafwa ni kutoka ukinga Makete.
 
Hapa napo kuna ushahidi, ambao unaelezea kuwa wasafwa ni jamii toka ukinga, nadharia hii inashibishwa na salamu pamoja na wasafwa waishio kata ya ilungu, igoma na ulenje mbeya vijijini. Katika suala la salamu baadhi husalimiana "mwagona nkinga " , wakimaanisha kuwa hujambo mtu toka ukinga. Pia wao huamini kuwa ni matokeo ya msafwa, mkinga, mnyakyusa na muwanji. Lakini nadharia hii Pia inashadadiwa na ukweli kwamba katika kata hizo ni kweli wapo wakinga wengi mno ambao kwa sasa hujiita wasafwa na wanafuata mila na taratibu za kisafwa. Ni dhahiri kuwa wapo watu na koo kama kyando, swallo, longopa, chaula, Enea na nyingine nyiiingi ambazo ni matokeo ya wazee wao kuhamia usafwani hasa tarafa ya tembela mbeya vijijini.
 
3. Wasafwa ni kutoka Unyakyusani.
 
Nadharia hii ipo katika salamu, ambapo wapo wasafwa wanaosalimiana "mwagona hondya " ,
 
Wakimaanisha hujambo toka unyakyusani, . Ikumbukwe wasafwa huwaita wanyakyusa "wahondya " , nadharia hii inashibishwa na watu waishio tarafa ya Tembela mbeya vijijini hasa ilungu na igoma. Ushahidi wa nadharia hii unashibishwa zaidi na masimulizi ya wazee yahusuyo watu wa ajabu waliokua wanakula watu wenzao, kwa kisafwa waliitwa "Ayinga " . Hawa ni viumbe waliokua wanapatikana maeneo ya pembezoni mwa safu za mlima livingstone, ambao walisababisha jamii za watu wa kule hasa mwakaleli kukimbilia mbeya vijijini hasa maeneo ya ilungu na igoma. Mmoja wa wahanga hao ni ukoo wa Mwanginde Mkoma ambao unawakuta mwakaleli na ilungu mbeya vijijini.
 
Katika makala yangu ijayo nitawaleteeni masimulizi kuhusu watu wa ajabu waliokua wanakula wenzao huko usafwani na kuzunguka safu za mlima livingstone ambao Pia ni matokeo ya baadhi ya wanyakyusa wa enzi hizo kukimbilia usafwani.
 
4. Wasafwa ni Wasangu
 
Hapa Piapia salamu ndio ushahidi na kigezo cha Kwanzakwanza. Hawa husalimiana "mwagona nsangu au nsango au sango " , wakimaanisha hujambo mtu wa usanguUsangu. Hawa ni wengi uyoleUyole, mswiswiMswiswi, igurusiIgurusi, inyalaInyala na iteweItewe. Wao huamini kuwa ni matokeo ya msafwaMsafwa na msanguMsangu kwa baba. Ikumbukwe kuwa msanguMsangu alishirikiana na mbenaMbena kumshambulia muheheMhehe ambapo baada ya kushindwa akamvamia msafwaMsafwa.
 
5. Wasafwa ni kutoka Botswana.
 
Nadharia hii inashadadiwa na maelezo ya ufanano wa wasafwa na watu wa Botswana hasa katika ngoma za asili kama nyimbo na mtindo wa maisha. Inasemekana kuwa wasafwa walitoka Botswana wakaingilia Moja kwa moja njia ya msumbiji hadi makete kisha mbeya. Wengine hudai kuwa waliingilia dodoma . Ugumu wa nadharia hii upo katika ubantu maana kama ni ubantu asilimia kubwa ya jamii za kusini mwa jangwa la Sahara ni wabantu.
 
6.wasafwa ni kutoka nchini Congo.
 
Hapa ndipo penye maelezo mapana maana hawa ni wabantu na kwa kuthibitisha hilo Zipo shahidi toka koo mbalimbali kama Mwatumbo na Mwanshinga. Ifahamike kuwa wapo wanaoamini mwanshinga ni msafwa mkinga na Mwatumbo ni msafwa wa uwanji . Lakini historia inaonesha kuwa hawa ni wasafwa toka kongo hasa misitu ya kongo, ukweli huo unashibishwa na maelezo kwamba ,
 
Asili ya mwanshinga Ni historia ndeeeefu ambayo kwa ufahamu na masimulizi hapa Ni kurudi nyuma yaani kutrace back the background of Safwa tribe. Ambapo tunaambiwa wasafwa Ni kabila toka kundi la makabila yafahamikayo kma wabantu wanaopatikana hasa kusini mwa jangwa la Sahara wazungumzao lugha ya kibantu yenye ladha ya ubantu Na muingiliano Na makabila mengine ya kibantu.
 
Hivyo basi historia inasema WASAFWA Na mwanshinga kwa ujumla asili hasa Ni Africa magharibi hadi Sudan kusini, Na baadae wanahama kwa sababu mbalimbali . Ndipo wanasafiri hadi CONGO ya Leo hasa misitu ya Congo na pembezoni kwayo.
 
Baada ya miaka mingi WASAFWA Na mwanshinga kwa ujumla wanahamia mbeya kwa misafara miwili , ambapo mmoja unaingilia sumbawanga -tunduma hadi mbeya mjini Na baadae mbeya vijijini ya Leo.
 
Msafara mwingine unaingilia zambia- malawi- msumbiji Na kuingilia makete yaani ukinga hadi mbeya vijijini Na mjini Na hasaaa ukoo wa mwanshinga. Hawa na wengine wengi ndio wale wanaosalimia "mwagona kinga" . Wasafwa hawa wengi wao ni koo za kichifu na kwa maana hiyo hata Leo chifu wa mbeya ni msafwa wa jamii hii.
 
Lakini zipo nadharia zingine husema walitokea Botswana ijapokua haina mashiko Sana.
 
35. Wasafwa ni kutoka Unyakyusani. Botswana
Baadhi ya shahidi kuwa walitoka Congo na huko Sudan kusini ni uwepo wa majina kama vile majina yapatikanayo Congo WAMBI, NGATELEE, MWINGA, MBWIGA, SELINA , SILYELELO n.k.
 
Nadharia hii inashadadiwa na maelezo ya ufanano wa wasafwaWasafwa na watu wa Botswana hasa katika ngoma za asili kama nyimbo na mtindo wa maisha. Inasemekana kuwa wasafwaWasafwa walitokawalitokea Botswana wakaingilia Mojamoja kwa moja njia ya msumbijiMsumbiji hadi maketeMakete kisha mbeyaMbeya. Wengine hudai kuwa waliingilia dodoma Dodoma. Ugumu wa nadharia hii upo katika ubantuUbantu maana kama ni ubantu asilimia kubwa ya jamii za kusini mwa jangwa la Sahara ni wabantuWabantu.
PIA
 
6.wasafwa Wasafwa ni kutoka nchini Congo. Kongo
Kitendo Na tabia ya kupenda kuishi maeneo yenye mvua nyingi kma vile mbeya , Arusha Na Kilimanjaro Ni sawa Na mvua zipatikanazo misitu ya kongo.
 
Hapa ndipo penye maelezo mapana maana hawa ni Wabantu na kwa kuthibitisha hilo zipo shahidi toka koo mbalimbali kama Mwatumbo na Mwanshinga. Wapo wanaoamini Mwanshinga ni Msafwa Mkinga na Mwatumbo ni Msafwa Mwanji. Lakini historia inaonesha kuwa hawa ni wasafwa toka Kongo hasa misitu ya Kongo. Uweli huo unashibishwa na masimulizi ya kurudi nyuma yaani asili ya Wasafwa, kabila toka kundi la makabila yafahamikayo kama Wabantu wanaopatikana hasa kusini mwa jangwa la Sahara na wazungumzao lugha ya Kibantu na muingiliano na makabila mengine ya Kibantu. Hiyo historia inasema Wasafwa na Mwanshinga kwa ujumla asili hasa ni Afrika magharibi hadi Sudan kusini, na baadaye wakahama kwa sababu mbalimbali. Ndipo waliposafiri hadi Kongo ya leo, hasa misitu yake na pembezoni kwayo.
PIA kupenda kilimo haswa viazi mviringo.
 
Baada ya miaka mingi walihamia Mbeya kwa misafara miwili, ambapo mmoja uliingilia Sumbawanga - Tunduma na mwingine ulipitia Zambia- Malawi- Msumbiji na kuingilia Makete yaani Ukinga hadi Mbeya, hasa ukoo wa Mwanshinga. Hawa na wengine wengi ndio wale wanaosalimia "mwagona kinga". Wasafwa hawa wengi wao ni koo za kichifu na kwa maana hiyo hata leo chifu wa Mbeya ni wa jamii hii. Baadhi ya shahidi kuwa walitokea Kongo ni uwepo wa majina kama yale yapatikanayo Kongo: Wambi, Ngatele, Mwinga, Mbwiga, Selina, Silyelelo n.k. Pia tabia ya kupenda kuishi maeneo yenye mvua nyingi ni sawa na mvua zipatikanazo misitu ya Kongo.
Misafara hiyo inasemekana ilitengana baada ya kutokea sintofahamu wakiwa njiani toka kongo, walipofika njiani wengine wakasonga kuelekea Zambia, malawi, msumbiji pembezoni mwa ziwa nyasa hadi makete ya Leo. Huko wakakaa na kuishi wakichangamana na wenyeji yaani wakinga na wawanji na baadae watoto wanazaliwa na wengine kuhamia mbeya vijijini. Hawa walikua ni wale wanaopenda kuhamahama na kwa kuwa tayari mbeya kulikua na wa safwa walioingilia Tunduma hadi mbeya mjini ikawa rahisi kwao kuingia mbeya kwa kupitia njia ya makete isyonje yaani hasa kata ya ilungu ambayo ilikua kama lango.
 
Misafara hiyo inasemekana ilitengana baada ya kutokea sintofahamu wakiwa njiani toka kongoKongo, walipofika njiani wengine wakasonga kuelekea Zambia, malawiMalawi, msumbijiMsumbiji pembezoni mwa [[ziwa nyasaNyasa]] hadi maketeMakete ya Leoleo. Huko wakakaa na kuishi wakichangamana na wenyeji, yaani wakingaWakinga na wawanjiWawanji, na baadaebaadaye watoto wanazaliwa na wengine kuhamia mbeyaMbeya vijijini. Hawa walikua niwalikuwa wale wanaopenda kuhamahama na kwa kuwa tayari mbeyaMbeya kulikuakulikuwa na wa safwaWasafwa walioingilia Tunduma hadi mbeyaMbeya mjini ikawa rahisi kwao kuingia mbeyaMbeya kwa kupitia njia ya makete isyonje yaaniMakete hasa kata ya ilunguIlungu ambayo ilikuailikuwa kama lango.
pia historia inaendelea kudai kuwa kundi la Wasafwa waliopitia Sumbawanga walikutana na wafipa wa Sumbawanga na wakaendelea na msafara kuelekea mashariki na baadaye ndio wanakuja wanakutana kwenye mgongano na wasangu ambapo muda huo kulikua na mvutano kati ya wasangu na wahehe chini ya mkwawa na hivyo wakaanza kusambaa maeneo ya Mbeya.
 
piaHistoria historiahiyo inaendelea kudai kuwa kundi la Wasafwa waliopitia Sumbawanga walikutana na wafipaWafipa wa Sumbawanga na wakaendelea na msafara kuelekea mashariki na baadaye ndiowakaja wanakuja wanakutanakukutana kwenye mgongano na wasanguWasangu ambapo muda huo kulikuawalikuwa na mvutano kati ya wasangu na waheheWahehe chini ya mkwawa naMkwawa, hivyo wakaanza kusambaa maeneo ya Mbeya.
Hitimisho.
 
Wasafwa ni wabantu toka kusini mwa jangwa la sahara. Wasafwa toka mbeya ni mchanganyiko wa makabila kadhaa kutokana na muingiliano wa shughuli za kibinadamu. Lakini msafwa hasa ni yule mwenye asili ya kongo, Kwa hiyo tafiti mbalimbali zimehitimisha kuwa katika hizo nadharia 6 kuhusu asili ya msafwa nadharia namba 6 isemayo ni wabantu toka africa magharibi _ sudan kusini _ kongo kisha Tanzania ndio yenye ukweli na uhalisia maana wabantu wengi walitoka huko. Kwa hiyo nadhariaNadharia tano zinazobakizilizotangulia zina uhalisia kwa asilimia ndogo sana kutokana na ukweli kwamba zinamezwa na hiyo namba 6. HiHii ni kwa sababu zenyewe ni matokeo ya muingiliano wa kijamii baina ya wasafwaWasafwa na jamii zingine nyingine. Ukweli ni kwamba vita, njaa na ustaarabuutamaduni vilipelekea wasafwaWasafwa kuingiliana na jamii nyingine. Mfano baada ya vita kati ya merereMerere na chifu lyotoLyoto wa usafwaUsafwa mabinti wawili wa kisafwaKisafwa walitolewa kama zawadi kwa chifu merere baada ya kushinda. Kwa hiyo msafwaMsafwa asili asieasiye na mchanganyiko enzi hizo ni yule wa mbeyaMbeya mjini.
 
MGAWANYIKO WA MAKUNDI YAUNDAYO KABILA LA SAFWA
Line 208 ⟶ 179:
 
Salamu yao kuu ni Mwagona.
{{reflist}}
 
_______________________________________________________
 
Chanzo:
 
https://www.facebook.com/537547432946527/posts/historia-jamii-kabila-la-wasafwa-mwanshinga-jrwasafwa-ni-kabila-toka-jamii-ya-wa/1295189037182359/<nowiki/>{{reflist}}
{{DEFAULTSORT:Safwa}}
{{Makabila ya Tanzania}}
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
 
[[Jamii:Makabila ya Tanzania]]
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]