Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tag: Disambiguation links
No edit summary
Mstari 56:
Nadharia tano zilizotangulia zina uhalisia kwa asilimia ndogo kutokana na ukweli kwamba zinamezwa na hiyo namba 6. Hii ni kwa sababu zenyewe ni matokeo ya muingiliano wa kijamii baina ya Wasafwa na jamii nyingine. Ukweli ni kwamba vita, njaa na utamaduni vilipelekea Wasafwa kuingiliana na jamii nyingine. Mfano baada ya vita kati ya Merere na chifu Lyoto wa Usafwa mabinti wawili wa Kisafwa walitolewa kama zawadi kwa chifu merere baada ya kushinda. Kwa hiyo Msafwa asili asiye na mchanganyiko enzi hizo ni yule wa Mbeya mjini.
 
==Makundi yaundayo kabila la Wasafwa==
MGAWANYIKO WA MAKUNDI YAUNDAYO KABILA LA SAFWA
Wasafwa wamegawanyika katika makundi makubwa matano, natena kimaongezi au matamshikimatamshi wamegawanyika katika makundi kumi., kwa mfano ndani ya kata moja unakuta kuna tofauti ndogo kimatamshi. Katika makundi hayo matano kuna ,:
 
Wasafwa wamegawanyika katika makundi makubwa matano na kimaongezi au matamshi wamegawanyika katika makundi kumi. Katika makundi hayo matano kuna ,
 
1. Wamporoto
 
HawaHao ni wasafwaWasafwa wanaozungumza kisafwaKisafwa chenye ladha tofauti na makundi mengine. Hawa hupatikanaHupatikana kwa wingi na kwa kiasi mwakaleliMwakaleli number one, kiwiraKiwira, isyonjeIsyonje, ndaagaNdaaga, Ntokela ntokelakatika wilaya ya rungweRungwe na baadhi ya maeneo ya maendeleo, tembelaTembela na ijombeIjombe huko mbeyaMbeya vijijini.
 
Wao ni matokeo ya msafwaMsafwa kwa wingi na mchanganyiko wa baadhi ya makabila.
 
2. Wasongwe
 
Ni wasafwaWasafwa wazungumzao kisafwaKisafwa chenye ladha ya kipekee na makundi mengine. Hawa huzungumza na kuelewana zaidi wao kwa wao maana ni wasafwaWasafwa wa songweSongwe. Wanapatikana na kuishi kwa wingi mbaliziMbalizi, Utengule utengule usongweUsongwe, msheweMshewe, usongweUsongwe, swayaSwaya, igaleIgale, iwindiIwindi na maeneo ya wilaya ya mboziMbozi. Pia wapo Tunduma na mbeyaMbeya mjini kwa kuhamia.
 
Pia Mmalila na Mnyiha kihistoria wote walitokana na koo za Wasafwa ambao walitawanyika kwa lengo la kujihami/kuzuia kushambuliwa na Maaduimaadui wakati wa mapigano yaliyokuwepo enzi hizo. Wasafwa wa utenguleUtengule na msheweMshewe ndio hasa inaaminika ni matokeo ya mnyihaMnyiha wa leo na mmalilaMmalila. Kuna mzee alisema Wamalila wametokana na neno "Malila" yaani sehemu ambayo maadui walikuwa wanayoishia na lengo kuu ni kwenda kuzuia maadui sehemu wanazoishia na kwa upande wa "Wanyiha" anasema ni neno lililotokana na sehemu ambako maadui walielekea au kukimbilia wakati wa mapigano; hivyo basi hata matamshi yalikuwa yanabadilika kwa kadiri walivyokuwa wanakutana na kuchangamana na jamii zingnenyingine huko walikoelekea.
Pia
 
Mmalila na Mnyiha kihistoria wote walitokana na koo za Wasafwa ambao walitawanyika kwa lengo kujihami/kuzuia kushambuliwa na Maadui wakati wa mapigano yaliyokuwepo enzi hizo. Wasafwa wa utengule na mshewe ndio hasa inaaminika ni matokeo ya mnyiha wa leo na mmalila. Kuna mzee alisema Wamalila wametokana na neno "Malila" yaani sehemu ambayo maadui walikuwa wanayoishia na lengo kuu ni kwenda kuzuia maadui sehemu wanazoishia na kwa upande wa "Wanyiha" anasema ni neno lililotokana na sehemu ambako maadui walielekea au kukimbilia wakati wa mapigano hivyo basi hata matamshi yalikuwa yanabadilika kwa kadiri walivyokuwa wanakutana na kuchangamana na jamii zingne huko walikoelekea.
 
3. Wagulukha
 
HawaHao wanaishi na kupatikana kwa wingi chunyaChunya, ikukwaIkukwa, ihangoIhango, lwanjiroLwanjiro na mbeyaMbeya mjini. Wao ni tofauti kidogo kimatamshi na wale wa maeneo mengine. Hawa wengi wameoa na kuolewa na wabunguWabungu toka chunyaChunya na kiasili wao ni matokeo ya vita kati ya merereMerere na chifu lyotoLyoto mbeyaMbeya mjini ya Leoleo.
 
4.wambwila Wambwila
 
HawaHao wanaishi na kupatikana kwa wingi ilunguIlungu, igomaIgoma, ulenjeUlenje, maketeMakete na mbeyaMbeya mjini. Hawa huzungumza kisafwaKisafwa cha kipekee mno, wao Piapia ndio lango kuu la mkingaMkinga kuingia mbeyaMbeya mjini. Wanazungumza zaidi kisafwaKisafwa kiitwacho kimbwilaKimbwila. Wengi wao huishi nje ya mji yaani milimani kwenye mvua nyingi kwa ajili ya kilimo, hasa mbeyaMbeya vijijini. Moja ya kata zenye wasafwaWasafwa waliochanganya damu ni ilunguIlungu, ulenjeUlenje na igomaIgoma na tarafa ya tembelaTembela kwa ujumla. Mfano ndani ya kata tajwa hpo juu, hizo unakuta kuwa hao ni wasafwaWasafwa waliotokana na mchanganyiko wa wasafwaWasafwa, wasanguWasangu, wawanjiWawanji, wakingaWakinga, wanyakyusaWanyakyusa na wabenaWabena kiasi . Na kundi la mwisho ni
 
5. Wamalila
 
Kundi hilo la mwisho lina utata kama ni kabila au kundi ndani ya kabila. Ifahamike kuwa neno Wamalila kwa Kisafwa lina maana ya uchafu mwilini uliowekwa kishirikina yaani "amalila". Sasa ukiwauliza Wamalila wao husema asili yao ni Botswana na wengine husema ni mlima Mbeya. Ila kwa Wasafwa hilo ni kundi lililojitenga na wenzao kwa kiasi. Wanaishi tarafa ya Isangati yote na maeneo ya Usongwe. Katika kundi la Wamalila wapo walio na ushahidi wa kuthibitisha waliendaje kule. Ni kwamba, katika kipindi cha mgogoro na mtemi merere kuna Mmoja kati ya watu wa Kisafwa alipambana kumuua askari mmoja wa mtemi Merere na kukimbilia maeneo ya Mbozi eneo hilo likiitwa Ntandala na baadaye alioa huko ila hakuendelea kukaa, aliamua kurudi ijapo hakufika eneo lake la nyumbani ila huyo shujaa aliweza kuishi maeneo ya Umalila na maisha yake yaliendelea hapo. Alikuwa mtu kutoka ukooo wa Nswila, watu wanaopatikana kwa wingi maeneo ya Iwindi hadi leo na kidogo Umalila.
Upo utata kuhusu kundi hili kama ni kabila au kundi ndani ya kabila. Ifahamike kuwa neno wamalila kwa kisafwa lina maana ya uchafu mwilini uliowekwa kishirikina yaani " amalila " .
 
Sasa ukiwauliza wamalila wao husema asili yao ni botswana na wengine husema ni mlima mbeya sababu ambayo ni sababu ya asili ya msafwa kufikia yaani mlima mbeya. Kuhusu botswana historian haifafanui vyema.
 
Ila
 
Hili ni kundi ambalo kwa wasafwa ni kundi lililojitenga na wenzao kwa kiasi. Wanaishi tarafa ya isangati yote na maeneo ya usongwe.
 
pia katika kundi la wamalila kuna wamalila wapo kule na ushahidi wa kuthibitisha waliendaje kule ni kwamba ,
 
katika kipind cha mgogoro na mtemi merere kuna moja kati ya watu wa kisafwa alipambana kumuua askari mmoja wa mtemi merere na kukimbilia maeneo ya mbozi eneo hilo likiitwa ntandala na baadaye alioa huko ila hakuendelea kukaa huko aliamua kurudi ijapo hakufika eneo lake la nyumban ila huyo shujaa aliweza kuishi maeneo ya umalila na maisha yake yaliendelea hapoo alikuwa ni mtu kutoka ukooo wa Nswila watu wanopatkana kwa wingi maeneo ya iwindi hadi leo na kidogo umalila
 
Historia na Ifahamike kuwa mbeya haswa kulikua na makabila au jamii nne tu nazo ni wasafwa, wanyakyusa, wasangu na wanyamwanga.
 
Wajiitao walambia na wandali ni matokeo ya mnyakyusa, wamalila na wanyiha ni kutoka usafwa, wabungu wa chunya ni matokeo ya makutano ya kuoana kwa msafwa, msukuma na mnyamwezi kisha kukawepo mbungu. Baadae wakahamia wakinga, wabena na wawanji toka iringa
 
Hitimisho
 
Ifahamike kuwa Mbeya haswa kulikuwa na makabila au jamii nne tu, nazo ni: Wasafwa, Wanyakyusa, Wasangu na Wanyamwanga. Wajiitao Walambia na Wandali ni matokeo ya Mnyakyusa, Wamalila na Wanyiha ni kutoka Usafwa, Wabungu wa Chunya ni matokeo ya makutano ya kuoana kwa Msafwa, Msukuma na Mnyamwezi kisha kukawepo Mbungu. Baadae wakahamia Wakinga, Wabena na Wawanji toka Iringa.
Makundi haya yamegawanyika Pia katika matamshi, mfano ndani ya kata moja unakuta kuna utofauti mdogo kimatamshi.
 
NGOMA ZA ASILI