Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 85:
Ifahamike kuwa Mbeya haswa kulikuwa na makabila au jamii nne tu, nazo ni: Wasafwa, Wanyakyusa, Wasangu na Wanyamwanga. Wajiitao Walambia na Wandali ni matokeo ya Mnyakyusa, Wamalila na Wanyiha ni kutoka Usafwa, Wabungu wa Chunya ni matokeo ya makutano ya kuoana kwa Msafwa, Msukuma na Mnyamwezi kisha kukawepo Mbungu. Baadae wakahamia Wakinga, Wabena na Wawanji toka Iringa.
==Ngoma za asili==
==Kilimo==
▲ngoma kuu ya asili ya wasafwa ni ngoma ichezwayo wakati wa sherehe, matambiko na mavuno. Ngoma hii maarufu huitwa " mbeeta " . Huchezwa kwa kutumia filimbi, pembe za wanyama, mbegu zilizo ndani ya makopo na vingine vingi. Ngoma za asili huchezwa kwa sasa hasa itewe, ikukwa na ifumbo. Hakika kwa kule bado wanaenzi asili.
Wasafwa ni kabila la wakulima ambao hulima sana viazi,
Kutokana na kilimo wametawanyika Tanzania na kwenda maeneo yenye mvua,
==Wasafwa na Mbeya==
▲Wasafwa ni kabila la wakulima ambao hulima sana viazi, mahindi, ngano, numbu, karanga, maharage na mazao mengine kama miti. Wasafwa Pia ni wafanyabiashara hasa viazi na vitunguu swaumu. Wasafwa hulima sana maeneo yenye mvua nyingi kama rungwe na mbeya vijijini.
▲Kutokana na kilimo wametawanyika Tanzania na kwenda maeneo yenye mvua, wapo kwa wingi Arusha hasa Arusha chini na meru, wapo mang'ola karatu, muheza Tanga, west kilimanjaro, usa Arusha, muffindi iringa, njombe, makete na morogoro.
▲Neno mbeya ni neno litokanalo na lugha ya kisafwa likiwa linatamkwa ibheya likimaanisha chumvi. Wafanyabiashara walifika mbeya na kubadilishana chumvi toka chunya na mlima mbeya kwa bidhaa nyingine. Ilikua ni ngumu wageni kutamka neo ibheya na hivyo wakajikuta wanatamka imbeya. Baadae miaka ya 1927 wakati wa usanifishaji wa kiswahili neno hilo likasanifishwa na kuwa mbeya.
▲Maneno asilimia 90 ya maeneo ndani ya jiji la mbeya yanatafsiriwa kwa kisafwa.
▲Mfano neno mbalizi _ mbalisi
Loleza _ lolezya (sindikiza)
Line 111 ⟶ 104:
Uyole _ iyoole
Igawilo _ kigavilo (
Isyesye _ inzyesye
Line 119 ⟶ 112:
Ijombe _ aina ya mti
==Majina ya Wasafwa==
Majina ni sehemu ya utamaduni wa
Pia kuna jina la Kisafwa "Nkundi'. Jina hili anapewa mtoto ambaye watangulizi wake wote wamefariki.
▲Majina ni sehemu ya utamaduni wa wasafwa, mtoto hupewa jina kutokana na tukio au kumbukumbu flani. Mfano mtu akiitwa Nzala, huyo alizaliwa kipindi cha njaa.
"Esose' kwa Kisafwa maana yake ni kuzaa mtoto asiye na baba rasmi. Zamani
▲Mbwiga _ mtoto wa kiume aliekua kwa kuumwa umwa na kupewa madawa
Vinginevyo siku za
▲Mbozyo _ mtoto wa kike aliekua kwa kuumwa umwa na kutibiwa kwa miti shamba
▲Jina hili anapewa mtoto ambaye watangulizi wake wote wamefariki. Zamani kulikuwa na shida kubwa ya kufa watoto kwa mfuatano katika familia, na kwahiyo basi mtoto aliyekua vyema alipewa jina la Nkundi, maana ya Inkundi kisafwa ni vumbi. Sasa wazazi walitoa jina hilo kwa kuonesha kukata tamaa kuwa hata huyo aliyezaliwa atakuwa mali ya vumbi.
▲"Esose' kwa Kisafwa maana yake ni kuzaa mtoto asiye na baba rasmi. Zamani hii ilikuwa ni tukio la nadra sana na ilionekana ajabu sana kusikia binti wa fulani "asosile umwana"
▲Vinginevyo siku za huku baadaye majina haya yamekuwa yakitumiwa tofauti na maana zake halisi kutokana na ukweli kwamba akina bibi wanarithisha majina yao ili yaendelee kuwepo hata baada ya wao kutoweka.
Wapo watoto sasa hivi wanaitwa 'Matundu' bila maana halisi ya neno hilo.
Matundu kwa
Pia yapo majina ya koo na mengi huwa yanaanza na Mwa...... kwa mfano Mwalingo, Mwanyanje, Mwaihoyo, Mwantinda, Mwandele, Mwanzanga, Mwasote, Mwanzanga, Mwangoka, Mwanandodo, Mwaanzala, Mwanyonga, Mwanzonga, Mwalyambi, Mwajafu, Mwansanga, Mwanguku, Mwaamudu, Mwalyego, Mwandiya, Mwasoni, n.k.
Siku hizi watoto wengi wa
DINI NA MIUNGU
|