Wasafwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Mstari 135:
Siku hizi watoto wengi wa Mbeya yaani Wasafwa hupewa majina kutokana na ama baba ni mpenzi wa mchezaji fulani au mwanamuziki. Wapo kwa sasa watoto huitwa Ronaldo, Beckham, Rooney, Nelly, Awilo, Yesu, Lowasa, Kikwete, Messi, Zidane na mengine mengi.
==Dini==
Wasafwa wengi
Uchawi mkuu kwa
▲Wasafwa wengi wao ni wakristo na wapagani. Ni ngumu sana kumkuta msafwa mwislamu. Wale wapagani husali maeneo ya misitu maarufu "maganjo " kama lile lililopo pale jijini mbeya. Wengi bado wanaamini katika miungu. Ni ukweli kwamba 50% ya wasafwa ni wakristo na 50% wapagani.
▲Uchawi mkuu kwa wasafwa huitwa ITUNGA na wale wauaji wa kichawi huitwa MBUDA. Mambo haya ni ya kimila hivyo imekua ngumu sana kuwabadilisha baadhi ya watu .
{{reflist}}
{{DEFAULTSORT:Safwa}}
|