Kichuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Kichuri''' ni [[chakula]] kiliwacho pamoja na [[nyama]] na mara nyingi hutumiwa na [[watu]] wa [[Tanzania]] [[kaskazini]], hasa [[Wakurya]], [[wachaga]] [[wapare,maasai]]. Ni chakula kilichosagwa [[Tumbo|tumboni]] mwa [[mnyama]] [[Mlamani|anekula majani]] kabla hakijachujwa na kutoka kama [[kinyesi]]. Baada ya mnyama kuchinjwa kinatolewa kile na kupigwa kinachanganywa na [[pilipili]] na [[nyongo]][[limao]] kuleta [[ladha]] zaidi. Kinatumika zaidi kula kwa kueka kwenye [[nyama choma]].
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Chakula]]