Lupita Nyong'o : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 5:
 
==Maisha==
Yeye ni [[mtoto]] wa [[mwanasiasa]] nchini Kenya [[Peter Anyang' Nyong'o]] na Dorothy Ogada Buyu. Lupita alizaliwa [[Mexico (mji)|mji wa Mexiko]], katika nchi ya [[Mexiko]], kwa sababu [[baba]] yake alifundisha [[sayansi ya siasa]] katika chuo ya Mexiko, katika [[Mji wa Mexiko]]. [[Familia]] yake waliondoka nchi ya [[Kenya]] katika mwaka wa [[1980]] kwa muda mfupi kwa sababu kulikuwa na matatizo kuhusu [[siasa]] na baba yake hakutaka kukaa huko. [[Ndugu]] wa baba yake Lupita, Charles Nyong’o, alirushwa nje ya [[feri]] na kupotea{{Citation needed}}.
 
Lupita ni [[Waluo|Mluo]], kwa sababu baba na mama yake wanasema [[lugha]] ya [[Kijaluo]]. Katika [[kabila]] la Wajaluo, Waluo wanapenda kupatia [[Jina|majina]] kwa watoto wao kulingana na matukio ya siku, hivyo, walimpatia jina la Lupita{{Citation needed}}.
 
Familia ya Lupita walirudi nchini Kenya wakati Lupita alipokuwa na [[umri]] wa [[mwaka]] mmoja, kwa sababu baba yake alipata [[kazi]] katika [[Chuo Kikuu cha Nairobi]]. Lupita alikulia katika [[mji]] wa [[Nairobi]]{{Citation needed}}.
 
Akiwa na umri wa miaka kumi na nne, Lupita alianza [[ukumbi]] wa [[michezo]] kwa kucheza Juliet katika [[tamthilia]] ''Romeo na Juliet'', kwa [[kampuni]] ya Phoenix Players. Wakati Lupita akifanya kazi katika kampuni hiyo, alicheza michezo ya ''On the Razzle'', na ''There Goes The Bride''. Lupita alitaka kufanya kwenye ukumbi wa michezo kwa sababu alipenda [[Whoopi Goldberg]] na [[Oprah Winfrey]]{{Citation needed}}.
 
Wakati Lupita alipokuwa na umri wa miaka kumi na sita, wazazi wa Lupita walimtuma kwenda nchi ya Mexiko kusoma lugha ya [[Kihispania]] kwa miezi saba. Lupita aliishi [[jiji]] la [[Taxco]], [[jimbo la Guerrero]], na alisoma katika [[chuo kikuu cha Mexiko]]{{Citation needed}}.
 
Lupita alisoma masomo za [[filamu]] na masomo za ukumbi wa michezo katika [[chuo]] cha [[Hampshire]]{{Citation needed}}.
 
Lupita alianza kazi yake ya msaidizi wa uzalishaji katika jiji la [[Hollywood]]. Katika mwaka wa [[2008]], alianza kutenda na [[filamu]] ndogo yake ya kwanza, ''East River''. Alirudi nchi ya Kenya kutenda kwa tamthiliya ''Shuga'' (2009-2012). Katika mwaka wa 2009 pia Lupita aliandika na alielekeza [[maandishi]] ''In My Genes''. Baadaye, alikwenda kusoma kaimu katika [[Chuo Kikuu cha Yale]]. Baada ya kupata [[shahada]] ya pili, alikutenda kama Patsey, katika mchezo wa ''12 Years a Slave''. Alishinda [[tuzo]] nyingi, ikiwamo tuzo wa [[mwigizaji]] bora. Yeye alikuwa Mkenya na Mmexiko wa kwanza kushinda tuzo ya [[taasisi]]{{Citation needed}}.
 
== Filamu ==