Fabaceae : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sehemu ya maelezo imeongezwa
Mstari 48:
 
===Ukuaji===
Familia ya Fabaceae ina aina nyingi tofauti za ukuaji, zikiwemo, kama miti, vichaka au mimea ya kutambaa na kupanda. Mimea ya familia hii isiyo ya miti inaweza kua ya msimu au muda mrefu, bila mkusanyiko wa majani ya chini au mwisho. Mimea mingi ya jamii ya mikunde ina kamba kamba (''tendrils'') ambazo husaidia mmea kushishikiza. Inaweza kusimama wima yenyewe, kukua juu ya mimea mingine (''epiphytic'') au kutanda/kutambaa. Ile inayotambaa hua inajishikilia kwa matawi yake au kamba kamba (''tendrils''). Mimea ya jamii hii inaweza kua ambayo inaweza kuvumilia ukame, inayopenda maji au ile inayoweza kuishi mazingira mengi. <ref name="Watson">{{cite web |url=http://delta-intkey.com/angio/www/legumino.htm |title = Familia za mimea inayotoa maua: Leguminosae |access-date=25 August 2021 |author1=Watson L. |author2=Dallwitz, M. J.|date=2007-06-01}}</ref><ref name="Judd2002">{{cite book |last1= Judd|first1=Walter S|last2=Campbell |first2=Christopher S |last3=Kellogg |first3=Elizabeth A |last4=Stevens |first4= Peter F|last5=Donoghue |first5=Michael J|author-link= |date=2002|title=Plant Systematics: A Phylogenetic Approach|url= https://www.nhbs.com/plant-systematics-book-5|location= London|publisher=Sinauer Associates |page=287-292 |isbn= 9781605353890}}</ref>
 
==Picha==