Betty Kazimbaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''"Betty Aloyce Kazimbaya"''' (4 Machi, 1973) ni jina la mwigizaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anajulikana zaidi kwa kucheza uhusika wa Mwanaidi kutoka katika mfululizo wa televisheni maarufu wa Siri ya Mtungi (2012). Pia amecheza kama Mama Aisha (Samaki Mchangani—2014), Mama Mwandenga (Going Bongo—2015), Mama Tumaini (Binti—2021). Mwaka wa 2021, amepata kuonekana katika tamthilia ya "Haikufuma"...'
 
Marejeo!
Mstari 1:
'''"Betty Aloyce Kazimbaya"''' (amezaliwa tar. [[4 Machi]], [[1973]]<ref>{{Cite web|title=Betty Kazimbaya|url=http://www.imdb.com/name/nm5400654/|work=IMDb|accessdate=2021-08-26}}</ref>) ni jina la mwigizaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anajulikana zaidi kwa kucheza uhusika wa [[Mwanaidi]] kutoka katika [[mfululizo wa televisheni]] maarufu wa [[Siri ya Mtungi]] (2012)<ref>{{Citation|title=Siri ya Mtungi (TV Series 2012) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt2551356/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>.
 
Pia amecheza kama Mama Aisha ([[Samaki Mchangani]]—2014<ref>{{Citation|title=Samaki Mchangani (Short 2014) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt3774750/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>), Mama Mwandenga ([[Going Bongo]]—2015), Mama Tumaini ([[Binti (filamu)|Binti]]—2021<ref>{{Citation|title=Binti (2021) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt11867140/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>).
 
Mwaka wa 2021, amepata kuonekana katika tamthilia ya "Haikufuma" akicheza uhusika wa "Jalia."
 
Vilevile amewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Sanaa za Maonyesho Tanzania.<ref>{{Citation|title=Going Bongo (2015) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt2380390/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>
 
== Marejeo ==