Betty Kazimbaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marejeo!
No edit summary
Mstari 1:
'''"Betty Aloyce Kazimbaya"''' (amezaliwa tar. [[4 Machi]], [[1973]]<ref>{{Cite web|title=Betty Kazimbaya|url=http://www.imdb.com/name/nm5400654/|work=IMDb|accessdate=2021-08-26}}</ref>) ni jina la [[mwigizaji wa filamu]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Anajulikana zaidi kwa kucheza uhusika wa [[Mwanaidi]] kutoka katika [[mfululizo wa televisheni]] maarufu wa [[Siri ya Mtungi]] (2012)<ref>{{Citation|title=Siri ya Mtungi (TV Series 2012) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt2551356/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>.
 
Pia amecheza kama Mama Aisha ([[Samaki Mchangani]]—2014<ref>{{Citation|title=Samaki Mchangani (Short 2014) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt3774750/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>), Mama Mwandenga ([[Going Bongo]]—2015), Mama Tumaini ([[Binti (filamu)|Binti]]—2021<ref>{{Citation|title=Binti (2021) - IMDb|url=https://www.imdb.com/title/tt11867140/|language=en-US|access-date=2021-08-26}}</ref>).
Mstari 8:
 
== Marejeo ==
{{marejeo}}

{{BD|1973}}
 
[[Jamii:Waigizaji filamu wa Tanzania]]