Württemberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Picha:KgrWuerttemberg.png|thumb| Württemberg 1810-1945]]
'''Württemberg''' ilikuwa dola ndani ya Ujerumani katika maumbo tofautiyake mbalimbali ya kisiasa,. mwanzoniMwanzoni kama sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]], kisha la [[Shirikisho la Ujerumani]], halafu la [[Dola la Ujerumani|Dola ya Ujerumani]]. Tangu mwaka 1952 imekuwa sehemu ya jimbo jipya la [[Baden-Württemberg]] lililopo katika kusini-magharibi mwa Ujerumani likipakana na Ufaransa na Uswisi.
 
Mji mkuu wake na makao ya watawala wake wa kikabaila ulikuwa [[Stuttgart]] .
Mstari 7:
Nchi iliundwa mnamo karne ya 11 kutoka kwa maeneo ya makabaila wa familia ya Württemberg kando la [[Neckar|mto Neckar]], tawimoto wa [[Rhine]].
 
Tangu 1495 watawala wake walipewa cheo cha mwinyi ''([[:en:Duke|duke]])''. Katika mvurugo mwanzo wa karne ya 19 baada ya uvamizi wa Ufaransa katika Ujerumani chini ya [[Napoleon]], mtawala wa Würtemberg alipandishwa cheo tena na kupewa haki ya kumchagua [[Kaizari]]. Mwaka 1806, baada ya mwisho wa [[Dola Takatifu la Kiroma|Dola Takatifu]], alipewa hadhi ya [[mfalme]].
 
Ufalme wa Württemberg ilikuwa nchi ya kujitegemea kabisa na mwanachama wa [[Shirikisho la Ujerumani]] hadi 1871. Mwaka ule ilishiriki katika umoja wa Ujerumani na kujiunga na [[Dola la Ujerumani]]. Sawa na dola lingine katika kusini [[Bavaria]], Württemberg ilibaki na haki za pekee, kama jeshi lake, reli yake na posta yake.