Württemberg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
 
[[Picha:KgrWuerttemberg.png|thumb| Württemberg 1810-1945]]
'''Württemberg''' ilikuwa [[dola]] ndani ya [[Ujerumani]] katika maumbo yake mbalimbali ya kisiasa. Mwanzoni kama sehemu ya [[Dola Takatifu la Kiroma]], kisha laya [[Shirikisho la Ujerumani]], halafu laya [[Dola la Ujerumani|Dola ya Ujerumani]]. Tangu mwaka 1952 imekuwa sehemu ya jimbo jipya la [[Baden-Württemberg]] lililopo katika kusini-magharibi mwa Ujerumani likipakana na Ufaransa na Uswisi.
 
Tangu mwaka [[1952]] imekuwa sehemu ya [[Majimbo ya Ujerumani|jimbo]] jipya la [[Baden-Württemberg]] lililopo [[kusini]]-[[magharibi]] mwa Ujerumani likipakana na [[Ufaransa]] na [[Uswisi]].
Mji mkuu wake na makao ya watawala wake wa kikabaila ulikuwa [[Stuttgart]] .
 
[[Mji mkuu]] wake na makao ya watawala wake wa kikabaila ulikuwa [[Stuttgart]] .
Nchi iliundwa mnamo karne ya 11 kutoka kwa maeneo ya makabaila wa familia ya Württemberg kando la [[Neckar|mto Neckar]], tawimoto wa [[Rhine]].
 
==Historia==
Tangu 1495 watawala wake walipewa cheo cha mwinyi ''([[:en:Duke|duke]])''. Katika mvurugo mwanzo wa karne ya 19 baada ya uvamizi wa Ufaransa katika Ujerumani chini ya [[Napoleon]], mtawala wa Würtemberg alipandishwa cheo tena na kupewa haki ya kumchagua [[Kaizari]]. Mwaka 1806, baada ya mwisho wa [[Dola Takatifu la Kiroma|Dola Takatifu]], alipewa hadhi ya [[mfalme]].
Nchi iliundwa mnamo [[karne ya 11]] kutokakutokana kwana maeneo ya [[Kabaila|makabaila]] wa [[familia]] ya Württemberg kando laya [[Neckar|mto Neckar]], tawimoto[[tawimto]] wala [[Rhine]].
 
Tangu [[mwaka]] [[1495]] [[watawala]] wake walipewa [[cheo]] cha mwinyi ''([[:en:Duke|duke]])''. Katika mvurugo mwanzo wa [[karne ya 19]] baada ya [[uvamizi]] wa Ufaransa katika Ujerumani chini ya [[Napoleon]], mtawala wa WürtembergWürttemberg alipandishwa cheo tena na kupewa haki ya kumchagua [[Kaizari]]. Mwaka [[1806]], baada ya mwisho wa [[Dola Takatifu la Kiroma|Dola Takatifu]], alipewa hadhi ya [[mfalme]].
Ufalme wa Württemberg ilikuwa nchi ya kujitegemea kabisa na mwanachama wa [[Shirikisho la Ujerumani]] hadi 1871. Mwaka ule ilishiriki katika umoja wa Ujerumani na kujiunga na [[Dola la Ujerumani]]. Sawa na dola lingine katika kusini [[Bavaria]], Württemberg ilibaki na haki za pekee, kama jeshi lake, reli yake na posta yake.
 
Ufalme wa Württemberg ilikuwaulikuwa nchi ya kujitegemea kabisa na mwanachama wa [[Shirikisho la Ujerumani]] hadi mwaka [[1871]]. Mwaka ule ilishiriki katika [[umoja]] wa Ujerumani na kujiunga na [[Dola la Ujerumani]]. Sawa na dola lingine katikala kusini, [[Bavaria]], Württemberg ilibaki na [[haki]] za pekee, kama [[jeshi]] lake, [[reli]] yake na [[posta]] yake.
Mapinduzi ya 1918 baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] yalimpindua mfalme na kufanya Württemberg kuwa [[jamhuri]] kama sehemu nyingine za Ujerumani. Haki za pekee ndani ya taifa kubwa zilikwisha ilhali Württemberg iliendelea kama jimbo la kujitawala ndani ya Ujerumani.
 
[[Mapinduzi]] ya mwaka 1918 baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] yalimpindua mfalme na kufanya Württemberg kuwa [[jamhuri]] kama sehemu nyingine za Ujerumani. Haki za pekee ndani ya [[taifa]] kubwa zilikwisha ilhali Württemberg iliendelea kama jimbo la kujitawala ndani ya Ujerumani.
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]], washindi waligawa jimbo baina ya utawala wa [[Marekani]] na [[Ufaransa]].
 
Tangu kuanzishwa kwa [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] maeneo hayahayo yaliungana tena na pamoja na jimbo la Baden jimbo jipya la [[Baden-Württemberg]] lilianzishwa.
 
== Marejeo ==
Line 23 ⟶ 24:
[[Jamii:Historia ya Ujerumani]]
[[Jamii:Baden-Württemberg]]
[[Jamii:Nchi za Kihistoria za Ulaya]]