Kuzaliwa kwa Bikira Maria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Image:Nativity of Theotokos.jpg|right|thumb|250px|[[Picha takatifu]] ya kuzaliwa kwa [[Mama wa Mungu]].]]
'''Kuzaliwa kwa Bikira Maria''' ni [[sikukuu]] inayoadhimishwa [[tarehe]] [[8 Septemba]] katika [[Kanisa Katoliki]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref> na vilevile katika [[Kanisa|makanisa]] ya [[Waorthodoksi]], ambako inaorodheshwa kati ya [[sherehe kuu]].
 
Tukio hilo halisimuliwi na [[Biblia ya Kikristo]], ila na [[Injili ya Yakobo]], sura 1-5.
 
Kwa vyovyote, [[mama]] wa [[Yesu]] alizaliwa kweli katika [[karne ya 1 KK]], na tukio hilo liliandaa kabisa [[Krismasi|kuzaliwa kwa Yesu Kristo]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{Bikira Maria}}
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Bikira Maria]]
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]