Sikukuu ya msalaba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 2 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 2:
'''Sikukuu ya msalaba''' ni [[adhimisho]] la [[liturujia]] ya [[madhehebu]] mbalimbali ya [[Ukristo wa mashariki]] na vilevile ya [[Ukristo wa magharibi]], ingawa [[tarehe]] zinatofautiana.
 
Sikukuu inaitwa kwa [[Kigiriki]] ''Ὕψωσις τοῦ Τιμίου καὶ Ζωοποιοῦ Σταυροῦ''<ref>{{Cite web |url=http://www.jerusalem-patriarchate.info/gr/an_tim_staurou.html |title=Jerusalem Patriarchate |accessdate=2016-09-11 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20130915223710/http://www.jerusalem-patriarchate.info/gr/an_tim_staurou.html |archivedate=2013-09-15 }}</ref> ("Kuinuliwa kwa Msalaba wenye kuheshimiwa na kuleta uzima"), kwa [[Kirusi]] ''Воздвижение Креста Господня'' na kwa [[Kilatini]] ''Exaltatio Sanctae Crucis'' ("Kutukuka kwa Msalaba Mtakatifu"). [[Walutheri]] na baadhi ya [[Waanglikana]] wanaiita ''Holy Cross Day'' ("Siku ya Msalaba Mtakatifu"), pengine ''Feast of the Glorious Cross'' ("Sikukuu ya Msalaba Mtukufu").<ref>[http://www.vineyardofthelord.com/maronitevocations/index.php?option=com_content&view=article&id=72&Itemid=85 Glorious Cross]{{Dead link|date=January 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref>
 
Lengo ni kutukuza chombo cha [[wokovu]] wa [[binadamu]] wote kilichotumiwa na [[Mungu]] kadiri ya [[imani]] ya [[dini]] hiyo, yaani [[Yesu Kristo]] aliyeuawa juu ya [[msalaba]] huko [[Yerusalemu]] mwaka [[30]] hivi.
Mstari 13:
[[Hadithi]] zilizoenea sana zinadai mwaka [[326]] [[msalaba]] halisi wa [[Yesu]] uligunduliwa na [[mtakatifu]] [[Helena wa Konstantinopoli]], [[mama]] wa [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu|Konstantino I]], [[Hija|alipohiji]] [[Yerusalemu]]. Hapo [[kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu]] lilijengwa mahali penyewe, kwa amri ya Helena na Konstantino, na sehemu ya msalaba iliachwa huko, ila sehemu nyingine zilipelekwa [[Roma]] na [[Konstantinopoli]].
 
Tarehe [[14 Septemba]] ndiyo siku ya pili ya [[kutabaruku]] kanisa hilo mwaka [[335]].<ref>[http://www.holysepulchre.custodia.org/default.asp?id=4078] "Sanctuary Holy Sepulchre", Retrieved 2014-04-30</ref> na ndiyo siku ya adhimisho lake katika [[Kanisa Katoliki]] [[kanisa la Kilatini|la Kilatini]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tanbihi==
Mstari 22:
* [http://www.holycross-hermitage.com/holycrosshermitage/gallery70/ The 13th through 18th photos in this series are of a Russian Orthodox bishop performing the Exaltation of the Cross in West Virginia] {{Wayback|url=http://www.holycross-hermitage.com/holycrosshermitage/gallery70/ |date=20111115181423 }}
* [http://en.liturgy.ru/photo/f17.htm Photo of Exaltation of the Cross by a Bishop in Russia] {{Wayback|url=http://en.liturgy.ru/photo/f17.htm |date=20070722100456 }}
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Sikukuu za Ukristo]]
[[Category:Yesu Kristo]]