Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit Advanced mobile edit
Mstari 1:
[[Picha:Cristiano Ronaldo mwaka 2008.jpg|thumb|Cristiano Ronaldo mwaka 2018]]
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro''' GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[ushambuliajiMshambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Uingereza]] katika [[klabu]] ya [[Manchester United]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]].
 
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora [[duniani]] na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo ana [[tuzo]] tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara [[Ulaya]], na ni mchezaji wa kwanza katika [[historia]] kushinda mara nne [[viatu vya dhahabu]].