Aïssa Khelladi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
== Maisha==
'''          ''' Aïssa Khelladi alizaliwa nchini [[Algeria]] mwaka [[1953]], kabla ya vita vya Algeria ya kupambania uhuru wake kati ya chama cha ukombozi cha ''National Liberation Front'' (F.L.N) ya [[Algeria]] na serikali ya [[Ufaransa]]. Alianza kuhudhuria masomo ya Kurani katika umri mdogo kabla ya kujiunga na shule ya msingi na Sekondari huko Algiers kabla ya kuachana na masuala ya elimu pale ambapo si ya ulazima na kuisaidia familia yake.
Alifanya mtihani wa ''baccalaureate '' kabla ya kuendelea na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Algiers na kutunikiwa shahada ya kwanza ya sanaa na DEA ambayo ni sawa na shahada ya uzamili ya saikolojia baada ya kupata mkopo kutoka wizara ya ulinzi ya Algeria. Baada ya kupata shahada ya kwanza, aliandika vitabu viwili kati ya mwaka [[1981]] na [[1984]], “Attende et Journal” na hadithi fupi.
 
Mwaka [[1988]], aliachana na jeshi baada ya kufikia cheo cha ukapteni na kuhamishia mitazamo yake katika uandishi. Kujitolea kwake katika uandishi wa habari na riwaya ilichangia kuundwa na kuanzishwa kwa habari za Hebdo mnamo mwaka [[1990]]. Baada ya hapo, alichapisha insha iitwayo “Les Islamistes Algeriens Face Au Pouvoir” ( Waislamu wa Algeria katika mamlaka), akichimbua ajenda za kidini za F.L.N na F.I.S. Insha hiyo ilipigwa marufuku na serikali ya Algeria na Khelladi alikimbia nchi baada ya majaribio ya kuuawa kwake kushindwa. Alipatiwa uhifadhi wa kisiasa na [[Ufaransa]] ambapo aliendelea na kazi yake.
Akiwa Ufaransa, alichapisha riwaya nyingine iitwayo “Peurs et Mensonges” (“Fears and Lies”) mnamo mwaka 1996. Ndani ya mwaka huo, Khelladi alianzisha jarida la ''Algérie Littérature/Action'' akiwa pamoja na Marie Virolle. Ilhali akiwa bado Ufaransa, alichapisha riwaya mbili mwaka [[1998]], Rose d’Abime” na “Spolaition”.