Audie Cornish : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
Mnamo Septemba 4, 2011, Cornish alichukua nafasi ya [[Liane Hansen]] wa NPR katika kipindi cha ''Weekend Edition Sunday''. Hansen alitayarisha na kuendesha kipind hicho kwa zaidi ya miaka 20.
 
Mwishoni mwa mwaka [[2011]], [[Disemba 18]] muendesha kipindi cha ''Weekend Edition'', Cornish aliweka bayana kuwa ataacha kuendesha kipindi hicho na kuhamia katika kipindi cha ''All Things Considered'' ifikapo Januari [[2012]] wakati wa chaguzi za mwaka 2012, kipindi chake kilichukuliwa na mtangazaji mwingine kwa jina la Rachel Martin.<ref>{{cite web|url=https://www.npr.org/player/v2/mediaPlayer.html?action=1&t=3&islist=true&id=10&d=12-18-2011 |title=NPR Media Player |publisher=Npr.org |access-date=2014-02-08}}</ref> Imekuwa ikitajwa sababu ya kuondoka katika kipindi hicho kilisababishwa na mume wake kuwa sehemu ya wanaharakati katika kampeni ya [[Barack Obama]].<ref>{{cite web|url=http://www.michiganradio.org/post/new-atc-and-weekend-edition-sunday-hosts |title=New ATC and Weekend Edition Sunday hosts |publisher=Michigan Radio |date=2012-01-06 |access-date=2014-02-08}}</ref> Mnamo [[Januari 3]], [[2013]], NPR ilitangaza kuwa Cornish atabakia kuwa muendesha kipindi hicho na Norris atarudi kama muandaaji taarifa wa kipindi.<ref>{{cite web|last=Memmott |first=Mark |url=https://www.npr.org/blogs/thetwo-way/2013/01/03/168531534/nprs-michele-norris-returning-as-host-special-correspondent |title=NPR's Michele Norris Returning As Host/Special Correspondent : The Two-Way |publisher=NPR |date=2013-01-03 |access-date=2014-02-08}}</ref>
 
Mnamo Agosti 2017, Cornish alitangaza kuwa angeondoka NPR wakati atakapopata likizo ya uzazi.<ref>{{cite web|last=Cornish|first=Audie|date=2017-08-21|title=you'll hear lots of great voices on @npratc while I am on maternity leave. In the meantime baby boy and i will be listening too :)|url=https://twitter.com/nprAudie/status/899755614045261825|access-date=2018-01-15|website=Twitter}}</ref> Akiwa katika likizo hiyo, alichapisha mahojiano kadhaa katika jarida la ''The New York Times''.<ref>{{cite web|last=Cornish |first=Audie |url=https://www.nytimes.com/2017/11/29/magazine/cornel-west-doesnt-want-to-be-a-neoliberal-darling.html|date=2017-11-29 |title=Cornel West Doesn't Want to Be a Neoliberal Darling |work=The New York Times |access-date=2018-01-15}}</ref><ref>{{cite web|last=Cornish |first=Audie |url=https://www.nytimes.com/2018/01/03/magazine/masha-gessen-is-worried-about-outrage-fatigue.html|date=2018-01-03 |title=Masha Gessen Is Worried About Outrage Fatigue |work=The New York Times |access-date=2018-01-15}}</ref>
Mstari 22:
 
=== Kazi zingine ===
Kuanzia [[2018]] hadi [[2019]], Cornish aliendesha kipindi cha televisheni cha kwa jina la ''Profile'' kilichohusu taarifa za mbalimbali juu ya mahojiano na kilirushwakupitia mtandao wa [[Facebook]].<ref>{{Cite web|title=PROFILE by BuzzFeed News|url=https://www.facebook.com/profilebuzzfeednews/|access-date=2020-06-19|website=www.facebook.com|language=en}}</ref> Kipindi hicho kilidhaminiwa na Facebook, ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha uwekezaji wa video katika program ya taarifa za Habari za video kwenye jukwaa lilioandaliwa na mtandao wa Facebook.<ref>{{Cite web|last=Spangler|first=Todd|date=2018-07-10|title=BuzzFeed News Taps NPR's Audie Cornish for Facebook Watch Interview Series|url=https://variety.com/2018/digital/news/buzzfeed-npr-audie-cornish-facebook-watch-1202869717/|access-date=2020-06-19|website=Variety|language=en}}</ref><ref name=":2">{{Cite web|last=Press Release|date=2018-07-10|title=BuzzFeed News Announces "PROFILE," A Weekly Interview Show For Facebook Watch|url=https://www.buzzfeednews.com/article/buzzfeedpress/buzzfeed-news-announces-profile-a-weekly-interview-show-for|access-date=2020-06-19|website=BuzzFeed News|language=en}}</ref> Kila kipande cha ''Profile''kilihusisha mtengeneza taarifa mpya kila wiki, ikiwapa watazamaji nafasi ya kuwasikia watu maarufu kutoka Nyanja mbalimbali kama siasa, teknolojia, biashara na burudani."<ref name=":2" />
 
==Maisha binafsi==
Audie Cornish ameolewa na muandishi wa wa kituo cha ''The Boston Globe'' Theo Emery.<ref name=BostonMag2>{{cite news|last=Nanos|first=Janelle|title=Person of Interest: Audie Cornish|url=http://www.bostonmagazine.com/2011/09/person-of-interest-audie-cornish/|access-date= June 18, 2016|newspaper=Boston Magazine|date=October 2011}}</ref> Ana Watoto wawili na mara nyingi amekuwa akiongelea changamoto ya ulinganifu katika kazi na familia.<ref>{{Cite web|last=Johnson|first=Greta|date=2018-06-01|title='This Is A Work In Progress': NPR's Audie Cornish On Being A New Mom|url=https://www.wbez.org/stories/power-up-nprs-audie-cornish/2c29116f-f942-4ad8-925b-81ccc2e83779|access-date=2020-06-19|website=WBEZ Chicago|language=en}}</ref>
 
==Marejeo==
{{reflist}}
 
==Viungo vya Nje==
Line 34 ⟶ 31:
*{{official website|https://www.npr.org/people/4986687/audie-cornish}}
 
==Marejeo==
{{reflist}}
{{mbegu-mwandishi}}
[[Jamii:Waandishi wa habari]]