Aral (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:AralShip.jpg|thumb|300px|Meli ya ziwani inayokaa jangwani mahali pa bandari ya zamani.]]
'''Ziwa Aral''' (kwa [[Kikazakhi]]: ''Арал Теңізітеңізі'' ''aralAral tengizi'', kwa [[Kiuzbeki]]: ''Orol dengizi'', kwa [[Kirusi]]: ''Аральскοе мοре'' ''aralskoyeAralskoye more'') ni [[ziwa]] la [[Asia ya Kati]], mpakani mwa [[Kazakhstan]] na [[Uzbekistan]].
 
Hadi [[mwaka]] [[1960]] lilikuwa na eneo la [[maji]] la [[km²]] 68,000, lakini limepungua hadi kubaki na km² 17,160 pekee mwaka 2004. Tangu [[1987]] kupungua kwa maji kulisababisha ugawaji wa ziwa katika sehemu [[mbili]] upande wa [[kaskazini]] na upande wa [[kusini]] ambazo haziunganiki tena.