Fasihi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nimeongeza maana ya mandhari katika kazi ya fasihi
No edit summary
Tags: KihaririOneshi Mobile edit Mobile web edit
Mstari 25:
*Fasihi ni ufundi unaotumia lugha ili kulete mguso au hisia fulani za watu katika muktadha fulani.
 
==Dhima za fasihi katika maishajamii==
Fasihi hufanya kazi mbalimbali katika maisha:
*Kuelimisha jamii - Fasihi hutumika kama nyenzo ya kuelimisha jamii, kupitia fasihi wanajamii wanaweza kuelimishwa juu ya mambo mbalimbali, kama vile juu ya umuhimu wa kuishi kwa amani, umuhimu wa kijikomboa kifikra, umuhimu wa kujikomboa kiuchumi, ubaya wa ufisadi na kadhalika.