GetValue : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''"Getvalue"''' ni jukwaa la usambazaji bidhaa mtandaoni kutoka nchini Tanzania. Kwa kutumia Getvalue, unaweza kupata nakala laini ya kitabu mahali popote pale duniani. Getvalue ilianzishwa na Gaston Jackson Ngailo mnamo 7 Disemba, 2017. Kwa sasa, Getvalue imejikita zaidi katika kuuza vitabu. Kuna patikana aina mbalimbali za vitabu kuanzia vya ukufunzi wa maisha, riwaya, dini, ualimu, ujenzi na ujasiriamali. Pia mtandao unatoa huduma ya vitabu kwa n...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:46, 3 Septemba 2021

"Getvalue" ni jukwaa la usambazaji bidhaa mtandaoni kutoka nchini Tanzania. Kwa kutumia Getvalue, unaweza kupata nakala laini ya kitabu mahali popote pale duniani. Getvalue ilianzishwa na Gaston Jackson Ngailo mnamo 7 Disemba, 2017.

Kwa sasa, Getvalue imejikita zaidi katika kuuza vitabu. Kuna patikana aina mbalimbali za vitabu kuanzia vya ukufunzi wa maisha, riwaya, dini, ualimu, ujenzi na ujasiriamali.

Pia mtandao unatoa huduma ya vitabu kwa njia ya sauti.

Viungo vya nje