Itikadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 2A02:C7F:924A:C300:4514:9616:2654:5F89 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
Tag: Rollback
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Itikadi''' ni mkusanyiko wa imani unaoshirikiwa na kikundo kikundi
cha watu fulani.
 
Kuna aina kuu mbili za itikadi: ''itikadi za kisiasa'', na ''itikadi za kiepistemolojia'' (ni sehemu ya falsafa ambayo inahusu utafiti wa jinsi tunavyojua mambo). Itikadi ya kisiasa ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kimaadili na vipi nchi itaendeshwa. Itikadi za kiepistemolojia ni upangiliaji unaohusu mawazo ya kifalsafa, ulimwengu, na jinsi gani watu wanapaswa kufanya maamuzi.