Kaunti ya Nandi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Kaunti ya Nandi''' ni mojawapo ya [[kaunti za Kenya]] zilizopo baada ya [[katiba ya Kenya|katiba mpya]] ya [[Jamhuri ya Kenya]] kupatikana [[mwaka]] [[2010]].
 
Wakati wa [[sensa]] ya [[mwaka]] [[2019]] wakazi walikuwa 885,711 katika eneo la [[km2]] 2,855.8, [[msongamano]] ukiwa hivyo wa [[watu]] 310 kwa [[kilometa mraba]]<ref>{{Cite web |url=https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census-volume-i-population-by-county-and-sub-county |title=Nakala iliyohifadhiwa |accessdate=2021-05-30 |archivedate=2019-11-13 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20191113191208/https://www.knbs.or.ke/?wpdmpro=2019-kenya-population-and-housing-census-volume-i-population-by-county-and-sub-county }}</ref>. Wenyeji ni hasa wa [[kabila]] la [[Wanandi]]. Kaunti ya Nandi ni maarufu kwa kuwa nyumbani kwa wakimbiaji wengi, wakiwemo [[Kipchoge Keino]], [[Henry Rono]], [[Moses Tanui]] na [[Bernard Lagat]].
 
[[Makao makuu]] yako [[Kapsabet]].
 
Maumbile ya kaunti hii yanategemea [[Milima ya Nandi]].
 
== Utawala ==