Maore (kisiwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[image: Mayotte-CIA WFB Map.png |thumb|right|300px|Ramani ya Mahore na Pamanzi]]
'''Mahore''' ([[Kifaransa]]: '''Grande-Terre''') ni kisiwa kikubwa cha [[eneo la ng’ambo la Ufaransa]] la [[Mayotte]]. Kisiwa cha pili ni [[Pamanzi]] (Kifaransa: Petite-Terre).
 
Mahore ina urefu wa 39 km na upana wa 22 km. Milima yake ni Mont Benara (660 m), Mont Choungui (594 m), Mont Mtsapere (572 m) et Mont Combani (477).