Hidrati kabonia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 13:
Hidrati kabonia ni chanzo cha nishati katika [[chakula]] cha [[watu]] wengi. Takriban [[asilimia]] 40 - 75 za mahitaji ya nishati ya watu hutokana na hidrati kabonia. [[Vyakula]] vyenye hidrati kabonia nyingi ni vile vyenye wanga, hasa [[nafaka]], na vyote vilivyotengenezwa kwa kutumia nafaka kama vile [[ugali]], [[mkate]], [[pasta]], [[wali]] pamoja na [[mazao]] kama [[viazi]] na [[ndizi]].
 
Vyakula hivyo tofauti vina viwango tofauti vya hidrati kabonia: vyakula kama vilivyoundwa viwandani kama vile sukari, mkate na pasta vikiongoza vikifuatwa na nafaka zilizosagwa.<ref>{{Cite web|url=https://ndb.nal.usda.gov/ndb/nutrients/report/nutrientsfrm?max=25&offset=0&totCount=0&nutrient1=205&nutrient2=&subset=0&sort=c&measureby=g|title=Food Composition Databases Show Nutrients List|work=ndb.nal.usda.gov|accessdate=2019-05-17}}{{Dead link|date=September 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> Vyakula kama vile nafaka vinavyopikwa bila kusagwa zina viwango vya chini vya hidrati kabonia. Hivyo ni muhimu, hasa kwa walio na [[magonjwa]] kama vile ya [[kisukari]]<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/W8079E/w8079e09.htm|title=Chapter 3 - Dietary carbohydrate and disease|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref> au hali za kimwili kama vile [[wanariadha]]<ref>{{Cite journal|last=Kanter|first=Mitch|date=2018-1|title=High-Quality Carbohydrates and Physical Performance|url=https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC5794245/|journal=Nutrition Today|volume=53|issue=1|pages=35–39|doi=10.1097/NT.0000000000000238|issn=0029-666X|pmc=PMCPMC5794245|pmid=29449746}}</ref>, wanaohitaji viwango fulani cha nichati, kuwa wangalifu na ikiwezekana kupima viwango vya hidrati kabonia katika vyakula vyao. Kuna njia tofauti za kuhesabu hidrati kabonia katika chakula, ikiwemo [[kikokotoo|vikokotoo]] vilivyo [[Mitandao ya kompyuta|mitandaoni]]<ref>{{Cite web|url=http://www.fao.org/3/y5022e/y5022e04.htm|title=CHAPTER 3: CALCULATION OF THE ENERGY CONTENT OF FOODS - ENERGY CONVERSION FACTORS|work=www.fao.org|accessdate=2019-05-17}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://calculator.academy/net-carbs-calculator/|title=Net Carbs Calculator|language=en-US|work=Calculator Academy|accessdate=2019-05-17}}</ref>.
 
Katika [[tamaduni]] chache watu hula kabohidrati kidogo na karibu chakula chote ni [[protini]] ya [[nyama]], kama vile kati ya [[Eskimo]] au [[Wamasai]] wanaokula hasa [[protini]], lakini mwili unaweza kubadilisha [[protini]] kuwa kabohidrati isipokuwa [[lishe]] yake inapungua.