Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
 
Mstari 16:
Mwaka [[2005]] mapigano ya vita ya wenyewe kwa wenyewe yaliingia ndani ya hifadhi ambako walinzi walipaswa kukimbia. Kituo cha kufuga okapi ndani ya hifadhi kilishambuliwa na [[wanamgambo]] wa Mai-Mai waliongozana na wawindaji wa tembo na wachimbaji haramu. <ref name="attack">Okapi Conservation Project (28 June 2012).''[http://www.okapiconservation.org/news/okapi-conservation-project-epulu-update-june-28-2012/ Okapi Conservation Project, Epulu Update – June 28, 2012] (https://web.archive.org/web/20120904160518/http://www.okapiconservation.org/news/okapi-conservation-project-epulu-update-june-28-2012/|date=September 4, 2012).'' Retrieved 15 September 2012</ref> Okapi 14, [[wanyamapori]] mbalimbali na watu 6 waliuawa. Watu wengine wengi, pamoja na [[watoto]], walitekwa nyara, lakini wote waliachiliwa baadaye. <ref name="MBay9Sept">Mongobay (9 September 2013).''[https://news.mongabay.com/2013/09/a-year-after-devastating-attack-security-returns-to-the-okapi-wildlife-reserve-photos/ A year after devastating attack, security returns to the Okapi Wildlife Reserve (photos)].'' Retrieved 16 July 2017.</ref> Shambulio lilitokea tena mwaka [[2017]] ilhali [[wafanyakazi]] 6 waliuawa.
 
Mnamo [[14 Julai]] 2017, kulikuwa na shambulio katika sehemu ya hifadhi karibu na [[Mambasa]], labda la waasi wa Mai-Mai. [[Waandishi wa habari]] wa kigeni (wawili wa [[Uingereza]] na [[Mmarekani]]) na [[wasafiri]] kadhaa wa [[mbuga]] hiyo walitoroka bila kujeruhiwa, lakini wafanyakazi watano wa hifadhi wenyeji (watendaji wanne na tracker) waliuawa<ref>New York Times (16 July 2017).''[https://www.nytimes.com/aponline/2017/07/16/world/africa/ap-af-congo-attacks.html U.S. journalist found alive in Congo, 5 others are killed] {{Wayback|url=https://www.nytimes.com/aponline/2017/07/16/world/africa/ap-af-congo-attacks.html |date=20170716143409 }}.'' Retrieved 16 July 2017.</ref> <ref name="FR24">France24 (16 July 2017).''[http://www.france24.com/en/2017,07,16-kidnapped-us-journalist-dr-congo-okapi Kidnapped US journalist in DR Congo found safe, five wardens killed] (https://web.archive.org/web/20170716155619/http://www.france24.com/en/20170716-kidnapped-us-journalist-dr-congo-okapi%7Cdate%3D2017-07-16%29.'' Retrieved 16 July 2017.</ref>.
 
==Tazama pia==