Hoyce Temu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 3 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 0 sources and tagging 1 as dead.) #IABot (v2.0.8
Mstari 7:
Elimu yake ya sekondari amechukua katika shule ya Arusha na shule ya wasichana ya Zanaki<ref>http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Hoyce-temu-looks-at-her-reign-as-MIss-Tz/1843792-4148180-dbd21b/index.html</ref>.
 
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari na kufaulu vizuri alipata udhamini <ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref>na kujiunga katika chuo cha Arizona State nchini [[Marekani]] kwa elimu ya juu<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx,http://www.thecitizen.co.tz/magazine/thebeat/Hoyce-temu-looks-at-her-reign-as-MIss-Tz/1843792-4148180-dbd21b/index.html{{Dead link|date=September 2021 |bot=InternetArchiveBot |fix-attempted=yes }}</ref> na kuchukua shahada ya kwanza.
 
Baada ya kumaliza shahada ya kwanza alianza kufanya kazi kama meneja wa mambo ya ushirika<ref>https://www.dailynews.co.tz/news/hoyce-temu-mrembo-wa-tanzania-aliyefanikiwa-filamu-rwanda-kuepuka-kashfa-katikati-ya-umaarufu.aspx</ref>katika Benki ya Standard Charter na kuendelea kusoma chuo cha Diplomasia.