Diamond Platnumz : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 169.255.184.120 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Glory Athanas
Tag: Rollback
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 4:
|Img_capt =
|Background = solo_singer
|Birth_name = Naseeb Abdul Juma IssackNyange
|Alias = [[Dabby K]], [[Lydia Was]]
|Amezaliwa = {{birth date and age|mf=yes|1989|10|2|df=yes}}
|Asili yake = [[Kigoma]] [[Tanzania]]
|Aina ya muziki = [[Bongo flava]]
|Kazi yake = [[Mwimbaji,Mtunzi,Mwandishi na Mmiliki wa record label ya Wasafi]]
|Aina ya sauti = "Tenor" ya tatu
|Miaka ya kazi = 2006–mpaka2010–mpaka sasa
|Studio = [[Wasafi Records]]
|Tovuti = [https://www.mrtechsite.com/2019/06/Steps-To-Get-Your-Adsense-Approved-Fast.html/ www.diamondplatnumz.com]]
}}
 
'''Naseeb Abdul Juma IssackNyange''' (maarufu kwa [[jina la kisanii]] kama '''Diamond Platnumz'''; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba ama Dangote; alizaliwa [[Dar es Salaam]], [[Tanzania]], [[2 Oktoba]] [[1989]]) ni [[mwimbaji]] wa [[nyimbo]] za [[Bongo Fleva]] na [[dansa]] kutoka nchini [[Tanzania]]. Ni [[mwimbaji]] na [[mtunzi]] wa [[muziki]] wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya [[wasanii]] wa ma[[taifa]] mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndani na nje ya [[Tanzania]]. Inasemekana kuwa msanii wa Mashariki na Kati mwa Afrika anayependwa na kupambwa kwa sasa.
 
Amekuwa na [[nyimbo]] nyingi zikiwa ni pamoja na "Number One" ambao aliuimba na mwimbaji tokea nchini [[Nigeria]] maarufu kama [[Davido]].