Bandari ya Mtwara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mtwara-3.jpg|thumb|Bandari ya Mtwara]]
'''Bandari ya Mtwara''' ilijengwa wakati wa [[ukoloni]] wa [[Waingereza]] katika [[jijiJiji]] la [[Mtwara (mji)|Mtwara]], [[kusini]] mwa nchi ya [[Tanzania]] ya leo.
 
== Historia ya bandari ==
[[Bandari]] ya Mtwara iliimarishwa wakati wa ukoloni na Waingereza mnamo miaka ya 1948-1954, na reli ilijengwa ikiunganisha bandari hiyo, kama sehemu ya [[mpango wa karanga za Tanganyika|Mradi wa Karanga wa Tanganyika]]. Kwa sababu ya kutokufanikiwa  kwa mradi huo bandari mara mojahiyo ilipoteza thamani yake na reli iliondolewa.
 
Bandari hiyo ilikuwa ikifanya kazi lakini haikutumika sana kwa miaka mingi kutokana na miundombinumiundo mbinu mibovu ya uchukuzi,<ref>[http://www.tanzaniaports.com/port/mtwara.htm TPA, TPA Ports, Mtwara] {{webarchive|url=https://web.archive.org/web/20120219114723/http://www.tanzaniaports.com/port/mtwara.htm|date=2012-02-19}}</ref> Lakini, katika miaka ya 2010-2011 kutokana na  kuongezeka kwa shughuli katika utaftaji wa rasilimali ya mafuta na gesi, shughuli za bandari ziliongezeka.<ref>[https://www.economist.com/news/middle-east-and-africa/21576412-gas-bonanza-brings-hopes-wealth-mtwara-rockefellers The Economist - Tanzania’s gas boom - The Mtwara Rockefellers]</ref>
 
== Uendeshaji ==
Mstari 11:
 
== Mipango ==
Bandari ya Mtwara pia ni sehemu muhimu ya mradi wa [["Mtwara Development Corridor]]" na hivi majuzi imefanyiwa maboresho makubwa.<ref name=":0" />.Bandari pia ina eneo maalum la kiuchumi lililounganishwa na bandari hiyo .Mnamo Desemba    mwaka 2015 "Alistair Freeports Limited" iliingiza  dola ($) 700,000 kuboresha [["eneo la usindikaji]]" karibu na eneo la bandari.<ref name="mtwa1">{{cite news|last1=Kimaro|first1=Haika|title=Dar Firm Injects Sh1.5 Billion in Mtwara's Free Port Zone|url=http://allafrica.com/stories/201512211212.html|access-date=23 December 2015|agency=The Citizen|publisher=AllAfrica|date=21 December 2015}}</ref>.
 
== Ona pia ==