Bastola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 7:
Kiasili bastola ilikuwa tu umbo dogo la [[gobori]]. Baada ya kila pigo ilihitaji kujazwa upya.
 
Kwa muda bastola zenye kasiba mbili au zaidi zilitengenezwa kwa kusidikusudi la kuongeza kasi ya kufyatulia risasi.
 
Baada ya kupatikana kwa ramia za metali katika karne ya 19 bastola ilipewa chemba ya risasi inayozunguka. Modeli mashuhuri ya mwanzoni ilikuwa aina ya Colt. Kwa kiingereza aina hii huitwa "revolver" kutokana na mzunguko wa chemba. Chemba huwa na ramia 5-8 mara nyingi ni sita.