Ugonjwa wa Bahima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
'''Ugonjwa wa Bahima''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Bahima disease'') ni [[ugonjwa]] unaosababishwa na upungufu wa madini chuma kwa [[watoto]] ambao hulishwa [[maziwa]] ya [[ng'ombe]] tu.<ref>{{cite book |last1=Stedman |first1=Thomas Lathrop |title=Stedman's Medical Eponyms |date=2005 |publisher=Lippincott Williams & Wilkins |isbn=9780781754439 |page=40 |url=https://books.google.com/books?id=isqcnR6ryz0C&pg=PA40 |language=en}}</ref>
 
Hutokea mara kwa mara kwa watu wa Bahima huko [[Ankole]], [[nchini]] [[Uganda]], ambapo ndipo chimbuko la [[jina]] lake. Bahima ni [[kabila]] linalotegemea sana [[ufugaji]] wa ng'ombe wenye [[pembe]] ndefu.
 
==Marejeo==