Zakia Meghji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zakia Meghji, IMF 2007.jpg|thumb|Zakia Meghji mwaka 2007.]]
'''Zakia Hamdani Meghji''' (alizaliwa [[31 Desemba]] mnamo mwaka [[1946]]) ni [[mwanasiasa]] nchini [[Tanzania]] ambaye aliwahi kuwa [[Waziri wa Fedha]] kuanzia [[mwaka]] [[2006]] hadi [[2008]].<ref>{{cite web|url=http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1002/2010-2015|title=Member of Parliament CV|publisher=[[Parliament of Tanzania]]|access-date=5 March 2013}}</ref> Alikuwa [[mwanamke]] wa kwanza kushika [[wadhifa]] huo.
 
Aliwahi pia kuwa waziri wa Utalii, Meghji ndiye Waziri wa [[Utalii]] aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi nchini humo, na ambaye alileta mabadiliko mengi mazuri katika Wizara hiyo.