Farasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
marekebisho madogo
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 29:
Aina nyingi zatumiwa kwa usafiri kama farasi za kupanda. Aina za pekee zimefugwa kwa michezo, kwa mfano mashindano ya mbio, [[Polo|mchezo wa polo]], au kuruka juu ya vizuizi.
 
Farasi wadogo wasiofikia urefu wa 1.48 m mbegani huitwa "poni"; asili yao ni mazingira baridi na ya mlimani penye uhaba wa chakula. Hao poni walifugwa kiasili kwa kazi za kubeba watu au mizigo na siku hizi wanafugwa mara nyingi kama farasi wa burudani kwa watoto hata nje ya maeneo yao ya asili. Maarufu ni kwa mfano poni wa [[Shetland]].
 
== Historia ==