When You Say Nothing at All : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Add 1 book for verifiability (20210217)) #IABot (v2.0.8) (GreenC bot |
Add 1 book for verifiability (20210917)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot |
||
Mstari 21:
==Kiini==
Overstreet na Schlitz waliubuni wimbo huu mwishoni mwa siku ambayo haikuwa na mapato mengi. Huku wakipiga gitaa na kujaribu kufikiria wimbo wao ambao ungefuatia. Hawangeweza kufikiria kitu. “Wakati tukijaibu kutafuta njia nyingine ya kutosema kitu, tuliubuni wimbo huu,” ," Overstreet alimwambia mhariri Ace Collins baadaye. Walionelea wimbo ulikuwa sawa lakini haukuwa spesheli. .<ref name=Collins>{{cite book |last=Collins |first=Ace |title=The Stories Behind Country Music's All-Time Greatest 100 Songs |url=https://archive.org/details/storiesbehindcou0000coll |publisher=Boulevard |date=1996 |location=New York |isbn=1-57297-072-3 |page=[https://archive.org/details/storiesbehindcou0000coll/page/268 268]}}</ref>
Wakati Keith Whitley aliusikia wimbo huo, aliupenda na asingeuachilia umpite kamwe<ref name=Collins/>. Awali alikuwa ameutayarisha imbo mwingine wa utunzi wa Overstreet-Schlitz ambao ulifika #1 lakini kwa msanii mwingine [[Randy Travis]], wimbo wa "On the Other Hand." Whitley hakuwa tayari kuacha hali hiyo itokee tena kwa wimbo huu.<ref name=Collins/><ref name=Roland>{{cite book |last=Roland |first=Tom |title=The Billboard Book of Number One Country Hits |url=https://archive.org/details/billboardbookofn0000rola |publisher=Billboard |date=1991 |location=New York |isbn=0-8230-7553-2 |page=[https://archive.org/details/billboardbookofn0000rola/page/539 539]}}</ref>.
|