André-Marie Ampère : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Add 1 book for verifiability (20210917)) #IABot (v2.0.8.1) (GreenC bot
 
Mstari 12:
|utaifa = Mfaransa
}}
'''André-Marie Ampère''' ([[20 Januari]] [[1775]] – [[10 Juni]] [[1836]])<ref>{{cite book|title=Dictionary of Scientific Biography|url=https://archive.org/details/dictionaryofscie0000unse_s3y8|year=1970|publisher=Charles Scribner's Sons|location=United States of America}}</ref> alikuwa [[mtaalamu]] wa [[fizikia]] na [[hisabati]] kutoka [[Ufaransa]].
 
Ana umaarufu kama mtu aliyeweka misingi muhimu kwa [[sayansi]] ya [[usumakuumeme]]. Katika mfumo wa [[vipimo sanifu vya kimataifa]] [[kipimo]] cha [[mkondo wa umeme]] kimepewa [[jina]] lake na kwa [[Kiswahili]] kinaandikwa [[ampea]].