Tofauti kati ya marekesbisho "Hospitali ya Nyangao"

14 bytes removed ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
 
'''Hospitali ya Mtakatifu Walburga Nyangao''' ni [[hospitali]] kuu ya wakala wa hiari wilayani [[Wilaya ya Lindi Vijijini|wilayani Lindi Vijijini]], [[Mkoa wa [[Lindi]]. Inamilikiwa na [[Jimbo Katoliki la [[Lindi]] linaloungwa mkono na [[watawa]] ,[[Wamisionari]] na [[Wabenedikto]] wa [['''Tutzing]]'''.
 
Mnamo [[mwaka]] [[1947]] [[zahanati]] ndogo ilifunguliwa. Ilipofika mwaka [[1959]], Mtawa Daktari '''Tekla Stinnesbeck''' aliamua kwamba ''Nyangao'' ni mahali pazuri pa vituo vipya vya afya akaanzisha mipango ya hospitali yenye [[Kitanda|vitanda]] 86.<ref>[http://www.nyangaohospital.com Hospitali ya Nyangao] {{Wayback|url=http://www.nyangaohospital.com/ |date=20200204011952 }}, tovuti rasmi</ref>
 
==Marejeo===
1,765

edits