Mlima Asavyo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Asavyo''' (unajulikana pia kama '''Bara Ale''') <ref>{{cite web |title=Springer Images Map |url=http://www.springerimages.com/Images/Geosciences/1-10.1007_s00445-004-0362-x-14}}</ref>) ni [[mlima]] wenye [[tindikali]] nyingi za asili za stratovolikano ndani ya [[Ethiopia]], inayounda sehemu ya Bidu Volcanic complex.
 
Iko katika [[umbali]] wa [[kilomita]] 20 [[kusini]] [[magharibi]] kwa [[volikano]] za [[''Nabro]]'' na [[''Mallahle]]''. Asavyo ina [[upana]] wa kilomita 12.
 
Asavyo ni mlima wa tatu kati ya milima mikubwa yenye asili ya [[silikoni]] katika maeneo ya kusini magharibi na uliopo Kaskazini-Maghariki-Kusini Magharibi mwa [[''Danaki]]''. Una [[upana]] wa kilomita 12, tawi la kilele cha volkano. [[Lava]] za Basaltiki zinamwagika katika matawi ya '''Asavyo''', yanayounganisha uwanda wa Mogorros kusini. Ingawa miaka ya volikano haijulikani kwa uhakika, '''Asavyo''' inatambulika kuwa ililipuka katika [[miaka ya [[2000]]. (Jumuiya ya Kimataifa ya Elimu ya Volkano).
 
==Marejeo==