Siku ya Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 1:
[[picha:Nelson_Mandela-2008_(edit).jpg|thumbnail|right|200pax|Nelson Mandela mwaka 2008]]
[[File:Celebration of Nelson Mandela Day (7595947574).jpg|thumb|Wafanyakazi wa [[MONUSCO]] wakifanya usafi katika hospitali ya Goma, kusherehekea siku ya Mandela 2012.]]
'''Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela''' (au '''Siku ya Mandela''') ni [[siku ya kimataifa]] kwa heshima ya [[Nelson Mandela]], [[sikukuu]] hii ambayo husherehekewa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[18 Julai]], siku ya kuzaliwa ya Mandela kama sehemu ya kutambua mchango wake kwa jamii za [[Afrika ya Kusini]], na [[Afrika]] kwa ujumla na ulimwengu wote.<ref name="UN18">{{cite web |url= https://www.un.org/en/events/mandeladay/ |title=Nelson Mandela International Day, July 18, For Freedom, Justice and Democracy |first= |last= |work=un.org |year=|accessdate=11 July 2011}}</ref>. Siku hiyo iliteuliwa rasmi na [[Umoja wa Mataifa]] mnamo Novemba mwaka 2009,<ref>[http://www.worldlii.org/int/other/UNGARsn/2009/64.pdf "Resolution adopted by the General Assembly"], General Assembly, United Nations, 1 December 2009.</ref> na kwa mara ya kwanza siku hiyo iliadhimishwa tarehe 18 Julai mwaka 2010, lakini, makundi mengine yalianza kusherehekea siku hiyo tarehe 18 Julai mwaka 2009.
 
Tarehe 27 Aprili mwaka 2009, [[46664 (Tamasha)|46664]] na [[Nelson Mandela Foundation]] ilizialika [[Jumuia za kimataifa]] kuungana kwa ajili ya [[sherehe]] maalumu ya siku ya Mandela.<ref>{{Cite web|url=https://www.nelsonmandela.org/news/entry/the-nelson-mandela-foundation-and-46664-call-for-the-establishment-of-a-glo|title=The Nelson Mandela Foundation and 46664 call for the establishment of a global ‘Mandela Day’ – Nelson Mandela Foundation|website=www.nelsonmandela.org|language=en-us|access-date=2018-07-19}}</ref> Siku hiyo haimaanishi ni siku ya mapumziko, lakini humaanisha ni siku ya heshima kwa Mandela, rais na mpigania uhuru wa Afrika ya Kusini. Thamani yake ni kujitolea kwa ajili ya [[huduma za kijamii]].<ref name=UN18/><ref>{{cite news |url=https://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 |title=46664 and the Nelson Mandela Foundation Call for Establishment of Global 'Mandela... |publisher=Reuters |date=27 April 2009 |accessdate=31 July 2010 |archivedate=2013-02-01 |archiveurl=https://archive.today/20130201123555/http://www.reuters.com/article/pressRelease/idUS138319+27-Apr-2009+PRN20090427 }}</ref>
 
Siku ya Mandela ni kwa ajili ya kuiambia dunia ichukue hatua za kimabadiliko na kusherehekea mawazo ya kuibadili jamii katika uwezo wa kuleta nguvu ya mabadiliko.
Mstari 11:
"Tutakuwa watu wenye heshima kama tutaileta dunia pamoja kupambana na [[umaskini]], kunadi na kuitangaza [[amani]], kukataa [[ubaguzi]] na kuendeleza [[utamaduni bora]]," kulingana na mambo bora ya Mandela.<ref>{{cite news| url=http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8021275.stm | work=BBC News | title=World urged to mark 'Mandela Day' | date=27 April 2009 | accessdate=1 April 2010}}</ref>
 
Kwa mara ya kwanza siku hiyo ilisherehekewa tarehe 18 Julai mwaka 2009, wakati wa siku ya kuzaliwa ya Nelson Mandela, ukiwa ni muendelezo wa kielimu, sanaa za maonyesho, harambee na matamasha ya kujitolea yaliyoandaliwa na kuongoza tamasha katika [[Radio City Music Hall]] iliyoandaliwa na tamasha la 46664 pamoja na the Nelson Mandela Foundation.<ref name="Mandela Day"/> mwezi November 2009, the [[Mkuitano mkuu wa Umoja wa Mataifa]] ulikubali kuwa 18 July iwe ni "Siku ya kimataifa ya Nelson Mandela".<ref>{{cite news|url=http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/8353853.stm|title=UN gives backing to 'Mandela Day' |date=11 November 2009|publisher=BBC News|accessdate=16 November 2009}}</ref>
 
==Marejeo==