Jani Allan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha : Jani Allan 2010.jpg|thumb|px250|right|Jani 2010]]
'''Jani Allan''' (alizaliwa tarehe [[11 Septemba]] mwaka [[1952]]) ni [[mwanahabari]], [[mwandishi]] na [[''mtangazaji]]'' wa [[Afrika Kusini]]. Alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri wa kwanza kwenye [[vyombo vya habari]] kwenye [[miaka ya [[1980]] na [[miaka ya [[1990]].
 
Mnamo mwaka [[1980]], '''Allan''' alikuwa mwandishi wa safu wa gazeti la ''Sunday Times (South Africa)|Sunday Times'', gazeti lenye mzunguko mkubwa zaidi kwa wiki lahuko [[Afrika kusini]]. Alikuwa mwandishi safi aliyesomwa zaidi kwa muongo mmoja akichapisha safu kama ''Just Jani'', ''Jani Allan's Week'' na ''Face to Face''. Akiwa kileleni mwa umaharufu wake, gazeti lilianzisha kura ama uchaguzi wa kutafta mtu anayependwa zaidi Afrika kusini na aliibuka mshindi.<ref name="Abstracts">[http://www.faqs.org/abstracts/Retail-industry/Bauwens-had-nothing-to-be-ashamed-of-relationship-with-Mellor-misrepresented-in-press.html Abstracts] Weekly Mail.1992</ref> Mwaka [[2015]], '''Marianne Thamm''' wa ''Daily Maverick'' alimueleeaalimuelezea '''Allan''' kama mwandishi mwenye ushawishi zaidi nchini humo.
 
Baadaye '''Allan''' alikuwa mada ya kutamaniwa kwenye vyombo vya habari juu ya mahusino yake alifanya mahojiano na, ''Eugène Terre'Blanche''. '''Allan''' alikana vilivyo madai ya kuwa na mahusiano na alimchukulia hatua ''Terre'Blanche''. '''Allan''' aliondoka [[Afrika Kusini]] pale nyumba yake ilipolipuliwa na wenye mrengo wa kulia mwaka [[1989]]. '''Allan''' aliwashitaki na kushinda maafa kutoka kwa makalia mbili za Uingereza zilizorudia madai ya mahusiano yake. Alifungua mashtaka ya kashfa dhidi ya Channel 4 juu ya Makala ya Nick Broomfield ,ya The Leader, His Driver and the Driver's Wife''. Broomfield alikana kutoa madai na mashahidi wa pande zote mbili walisafirishwa kutoka Afrika kusini. '''Allan''' alishindwa mashataka hayo ambapo Hakimu alikataa kama kuna yoyote kuidanganya mahakama.
 
==Maisha ya awali==
'''Allan''' alilelewa na wenza matajiri wenye asili ya [[Afrika Kusini]] na [[Uingereza]] ''Johnn Murray Allan'' na na ''Janet Sophia Henning'' akiwa na umri wa mwezi mmoja.<ref name=beeld>[http://152.111.1.88/argief/berigte/beeld/1992/07/24/12/3.html Jani het van kleins af fantastiese verbeelding gehad, sê ma] {{webarchive|url=https://web.archive.org/web/20131012015550/http://152.111.1.88/argief/berigte/beeld/1992/07/24/12/3.html |date=12 October 2013 }} Beeld. 27 July 1992</ref> Baba mlezi wa '''Allan''' aliyekua mhariri wa zamani wa ‘‘the Johannesburg daily’’, alifariki '''Allan''' akiwa na umri wa miezi nane. Mama yake alikua mfanya biashara wa vito vya thamani akiwa na duka Randburg. '''Allan''' alikuzwa na ''Hennings'' na mumewe wa pili, ''Walter Erick Monteith Fry''. Familia iliishi Randburg kabla ya kuhamia Brayanston Sandton. '''Allan''' alisoma shule ya msingi ya Franklin D. Rooselt na shule ya msingi ya Blairgowrie
==Marejeo==
{{reflist}}