Tofauti kati ya marekesbisho "Jani Allan"

4 bytes removed ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
Tag: Reverted
'''Jani Allan''' alizaliwa tarehe [[11 Septemba]] mwaka [[1952]]) ni [[mwanahabari]], [[mwandishi]] na ''mtangazaji'' wa [[Afrika Kusini]]. Alikuwa miongoni mwa watu mashuhuri wa kwanza kwenye [[vyombo vya habari]] kwenye miaka ya [[1980]] na miaka ya [[1990]].
 
Mnamo mwaka [[1980]], '''Allan''' alikuwa mwandishi wa safu wa gazeti la ''Sunday Times'', gazeti lenye mzunguko mkubwa zaidi kwa wiki huko [[Afrika kusini]]. Alikuwa mwandishi safi aliyesomwa zaidi kwa muongo mmoja akichapisha safu kama ''Just Jani'', ''Jani Allan's Week'' na ''Face to Face''. Akiwa kileleni mwa umaharufu wake, gazeti lilianzisha kura ama uchaguzi wa kutafta mtu anayependwa zaidi Afrika kusini na aliibuka mshindi.<ref name="Abstracts">[http://www.faqs.org/abstracts/Retail-industry/Bauwens-had-nothing-to-be-ashamed-of-relationship-with-Mellor-misrepresented-in-press.html Abstracts] Weekly Mail.1992</ref> Mwaka [[2015]],'''Marianne Thamm''' wa ''Daily Maverick'' alimuelezea '''Allan''' kama mwandishi mwenye ushawishi zaidi nchini humo.
 
Baadaye '''Allan''' alikuwa mada ya kutamaniwa kwenye vyombo vya habari juu ya mahusino yake alifanya mahojiano na, ''Eugène Terre'Blanche''. '''Allan''' alikana vilivyo madai ya kuwa na mahusiano na alimchukulia hatua ''Terre'Blanche''. '''Allan''' aliondoka [[Afrika Kusini]] pale nyumba yake ilipolipuliwa na wenye mrengo wa kulia mwaka [[1989]]. '''Allan''' aliwashitaki na kushinda maafa kutoka kwa makalia mbili za Uingereza zilizorudia madai ya mahusiano yake. Alifungua mashtaka ya kashfa dhidi ya Channel 4 juu ya Makala ya Nick Broomfield ,ya The Leader, His Driver and the Driver's Wife''. Broomfield alikana kutoa madai na mashahidi wa pande zote mbili walisafirishwa kutoka Afrika kusini. '''Allan''' alishindwa mashataka hayo ambapo Hakimu alikataa kama kuna yoyote kuidanganya mahakama.
1,765

edits