Tofauti kati ya marekesbisho "Finuala Dowling"

34 bytes added ,  miezi 2 iliyopita
no edit summary
'''Finuala Dowling''' (alizaliwa [[Afrika Kusini]], Mnamo mwezi [[Juni]] mwaka [[1962]]) ni [[mshairi]] na [[mwandishi]].<ref name=":0">{{Cite web|title=NB Publishers {{!}} Authors|url=https://www.nb.co.za/en/authors?authorId=104|access-date=2020-12-07|website=www.nb.co.za}}</ref><ref>{{Cite news|last=Rumens|first=Carol|date=2019-05-13|title=Poem of the week: Catch of the Day by Finuala Dowling|language=en-GB|work=The Guardian|url=https://www.theguardian.com/books/booksblog/2019/may/13/poem-of-the-week-catch-of-the-day-by-finuala-dowling|access-date=2020-12-07|issn=0261-3077}}</ref>
 
== Wasifu ==
Ni mtoto wa saba kati ya watoto nane waliozaliwa na watangazaji wa redio ''Eve van der Byl'' na ''Paddy Dowling,Finuala Dowling'' alipata Shahada ya pili ya Kiingereza kutoka chuo cha Cape Town (UCT) na D.Litt. kutoka Chuo Kikuu cha Afrika Kusini (UNISA), Ambapo alifundisha kingereza kwa miaka nane.<ref name=":0" /><ref>{{Cite web|title=Finuala Dowling|url=https://scholar.google.com/citations?user=K7zRD1cAAAAJ&hl=en|access-date=2020-12-07|website=scholar.google.com}}</ref>
 
Antholojia yake ya kwanza ya shairi, ''I Flying'', ilichapishwa mnamo mwaka [[2002]] na kushinda tuzo ya Ingrid Jonker .&ensp;Ameshinda pia Tuzo ya Sanlam ya Ushairi na Tuzo ya Olive Schreiner.mwakaMwaka [[2012]] Alishinda tuzo ya Fasihi ya M-Net katika kategoria ya Kiingereza ya '' Utengenezaji wa Nyumba kwa Wanyonge wa Moyo '''.<ref>{{cite web |url=http://bookslive.co.za/blog/2012/10/19/the-2012-m-net-literary-awards-winners/ |title=The 2012 M-Net Literary Awards Winners |work=Books LIVE |author=Carolyn |date=19 October 2012 |accessdate=19 October 2012}}</ref>
 
Yeye pamoja na ''Tessa'' na ''Cara Dowling'' wameanzisha kampuni ya burudani inayojulika kwa jina la ''Dowling Sisters Productions''.
 
== Familia ==
'''Dowling''' anaishi Muizenberg, [[Cape Town]] na binti yake.<ref name=":1">{{Cite web|last=https://www.timeslive.co.za/authors/nb-publishers|title=This month, Kwela celebrates poet and novelist Finuala Dowling|url=https://www.timeslive.co.za/sunday-times/books/news/2019-10-02-this-month-kwela-celebrates-poet-and-novelist-finuala-dowling/|access-date=2020-12-07|website=TimesLIVE|language=en-ZA}}</ref>
 
=== Mashairi ===
*''I Flying'', Carapace (2002)
*''Doo-Wop Girls of the Universe'', Penguin (2006)
*''Pretend You Don't Know Me: New and Selected Poems'', Bloodaxe Books (2018)<ref>{{Cite web|title=Finuala Dowling|url=https://karinamagdalena.com/tag/finuala-dowling/|access-date=2020-12-07|website=Karina Magdalena|language=en}}</ref>
 
=== Riwaya ===
*''What Poets Need'', Penguin (2005)
*''Flyleaf'', Penguin (2007)
*''Okay, Okay, Okay'', Kwela Books (2019)
 
=== Kuonekana katika antholojia ===
*''Portraits of African Writers'', ed. George Hallett, Wits University Press (2006)
*''Lovely Beyond Any Singing: Landscape in South African Literature'', Helen Moffett, Double Storey (2006)
1,765

edits