Destiny Etiko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
==Maisha na elimu==
 
''Etiko'' alizaliwa katika kijiji cha ''Udi'', kilichopo jimbo la [[Enugu]], kusini mashariki mwa nchi ya [[Nigeria]].
Etiko alipata [[elimu]] ya msingi na [[sekondari]] katika jimbo la [[Enugu]]. Alipata [[shahada]] ya kwanza ya [[Sanaa]] ya maonyesho katika [[chuo kikuu]] cha [[Nnamdi Azikiwe]]. <ref name=":2">{{Cite web|url=https://www.vanguardngr.com/2015/08/actress-etiko-destiny-stuns-in-bikinis-to-mark-birthday/|title=Actress Etiko Destiny stuns in bikinis to mark birthday|date=2015-08-12|website=Vanguard News|language=en-US|access-date=2019-12-26}}</ref>
==Kazi==
Etiko alijishughulisha na kazi ya uigizaji [[filamu]] kuanzia mnamo mwaka [[2011]]. Alianza kupata umaarufu na kutambulika baada ya kushirikishwa katika filamu iliyojulikana kama ''Idemili'' iliyoundwa mwaka [[2012]] na ''Ernest Obi'' na kuachiliwa mwaka [[2014]]. Uhusika wake katika [[filamu]] hiyo ilimpelekea kupata tuzo ya [[mwigizaji]] chipukizi wa kike mwaka [[2016]]. <ref name=":2" />
==Tuzo na Teuzi==
{| class="wikitable sortable"