Yael Abecassis : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 20:
'''Yael Abecassis''' ({{lang-he|יעל אבקסיס}}; amezaliwa tar. [[19 Julai]] [[1967]], [[Ashkelon]], [[Israel]]) ni mwigizaji [[filamu]] na mwanamitindo kutoka nchini Israel.
 
==Wasifu==
Yael Abecassis alizaliwa huko [[Ashkelon]], [[Israel]], kwa wazazi wa kiyahudi wa Moroccan. Abecassis alioana na mwigizaji wa Israel [[Lior Miller]] mwaka 1996 na kujaliwa mtoto mmoja. Walitalakiana mwaka 2003. Kwa sasa ameolewa na mjasiriamali Ronny Douek. Abecassis ni binti wa Raymonde Abecassis mwigizaji na mwimbaji wa Israel.<ref>{{Cite web|title=מי את, ריימונד אל בידאוויה? הסרט של יעל אבקסיס על אמה לא חושף|url=https://www.maariv.co.il/culture/tv/Article-809130|access-date=2021-06-29|website=www.maariv.co.il}}</ref>
 
==Kazi ya uigizaji na mitindo==
Yael Abecassis alianza uanamitindo akiwa na umri wa miaka 14. Baadae alijikita katika runinga na filamu, akionekana katika matangazo na kuwa mhusika mkuu aliyetambulika kwa jina la Rivka katika filamu ya ''Kadosh''. Ni filamu ya mwaka 1999 ikiongzwa na [[Amos Gitai]]. Katika miaka ya tisini, alikuwa mtayarishaji wa vipindi vya watoto katika runinga ya Israel na kutayarisha video za muziki kwa watoto. Mwishoni mwa miaka ya tisini, aliacha kazi ya runinga na kujihusisha na uigizaji.
==Filamu alizoigiza==