Rosa Hope : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
[[Mama]] yake alikuwa [[mwalimu]] katika [[shule]] ya ''Camberwell School of Art'' na [[baba]] yake aliandikwa kama [[wakala]].
 
''Hope'' alijiunga na shule kwa mara ya kwanza huko [[Romiley]], lakini baadaye alijiunga katika shule ya ''Manchester High School for Girls'' pamoja na [[pacha]] wake, Muriel Holinger Hope.
 
Mnamo mwaka [[1918]] alianza mafunzo katika shule ya [[sanaa]] ya ''Slade School of Art'' iliyopo [[London]] kwa [[ufadhili]] na mwaka [[1926]] alishinda ''Prix de Rome'' iliyoonekana katika ''Royal Academy.'' Alisoma chini ya [[Henry Tonks]] (1862-1937), [[Phillip Wilson Steer]] (1860-1942) na [[John Wheatley]] (1892-1955). Kwa kipindi hicho alikuwa akiishi huko 40 Downshire Hill, Hampstead katika [[nyumba]] ambayo [[William Hale White]], ([[mwandishi]] wa [[riwaya]]) aliishi mwaka 1852.